Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ohoooo mwehu huyu naeWakili: Unasema Februari 17 ulirudi Arusha na kuipeleka familia Kenya, Je? Ulipima Covid maana siku hiyohiyo umetoka Simanjiro ulikwenda Nairobi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoooo mwehu huyu naeWakili: Unasema Februari 17 ulirudi Arusha na kuipeleka familia Kenya, Je? Ulipima Covid maana siku hiyohiyo umetoka Simanjiro ulikwenda Nairobi.
Daah! Asante kwa kunitoa kutu kwenye ubongoPole kama ndo umemfahamu leo!
Muulize alipoonywa ile mwezi wa4 kuhusu kumuua mama kwenye mitandao ya kijamii toka hapo kabadili upepo.
Huyo ndo bibie Cyprian Musiba, dada Vero
Chawa in chawa tu.Sehemu ya mahojiano na Wakili wa utetezi, Moses Mahuna ilikuwa hivi.
Mahuna: Kwanini ulipopigiwa simu uende dukani kwako hukwenda.
Shahidi: Nilisikia mabishano pale dukani ndio nikapata hofu.
Mahuna: Je? Baada ya tukio hilo uliliripoti polisi
Shahidi: Hapana.
Wakili Dancon Oola: Una uthibitisho gani kuwa Sabaya na wenzake waliiba Sh 2,769,000 milioni.
Shahidi: Niliwaona kwenye CCTV camera
Oola: Je wewe uliamini vipi kama wao ndio wameiba?
Shahidi: Niliambiwa na Noman Jasin.
Wakili: Je uliripoti polisi?
Shahidi: Sijaripoti lakini niliandika barua TRA
Wakili: Unasema Februari 17 ulirudi Arusha na kuipeleka familia Kenya, Je? Ulipima Covid maana siku hiyohiyo umetoka Simanjiro ulikwenda Nairobi.
Shahidi: Hapana.
Wakili Chavula aliieleza Mahakama kuwa watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashitaka matatu ya unyang'anyi wa kutumia silaha Sabaya na wenzake.
NB. Uongo hauishi milele
Jamaa ni kichwa kweli...kaulizwa alijuaje ni Sabaya ndiye aliyeiba, akajibu nilimuona kwenye CCTV....Akaulizwa una uhakika gani jamaa alichukua hela...akajibu niliambiwa na Norman.Hapo hamna kesi sabaya anawakilishwa na mwanasheria aliyewahi simamia kesi za Richmond epa deci n.k
Sehemu ya mahojiano na Wakili wa utetezi, Moses Mahuna ilikuwa hivi.
Mahuna: Kwanini ulipopigiwa simu uende dukani kwako hukwenda.
Shahidi: Nilisikia mabishano pale dukani ndio nikapata hofu.
Mahuna: Je? Baada ya tukio hilo uliliripoti polisi
Shahidi: Hapana.
Wakili Dancon Oola: Una uthibitisho gani kuwa Sabaya na wenzake waliiba Sh 2,769,000 milioni.
Shahidi: Niliwaona kwenye CCTV camera
Oola: Je wewe uliamini vipi kama wao ndio wameiba?
Shahidi: Niliambiwa na Noman Jasin.
Wakili: Je uliripoti polisi?
Shahidi: Sijaripoti lakini niliandika barua TRA
Wakili: Unasema Februari 17 ulirudi Arusha na kuipeleka familia Kenya, Je? Ulipima Covid maana siku hiyohiyo umetoka Simanjiro ulikwenda Nairobi.
Shahidi: Hapana.
Wakili Chavula aliieleza Mahakama kuwa watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashitaka matatu ya unyang'anyi wa kutumia silaha Sabaya na wenzake.
NB. Uongo hauishi milele
siunaona wanavyoanza kujichanganya? yaani wajiandae haswa unajuwa kesi ni kitu cha ajabu sana ndiyo maana kuna watu wapo jela kwakuwa walishindwa tu kujitetea vizuri mahakamani hata huyo sabaya wakicheza tu anawatoka inategemea na wakili wakeMnahangaika sana kumsafisha huyo Sabaya, nawashauri muache huu utoto wenu, ushahidi wa uhuni wa Sabaya upo kila mahala mpaka kwenye video, ushahidi wa mtu mmoja ndio mnautumia kama kielelezo cha kushinda kesi, punguzeni ushabiki mandazi.
kwamtindo huu wa mashahidi anaweza kuwashindaIla ana kesi nyingi siyo rahisi kuchomoka zote
Ingelikuwa enzi za Mr No Nonsense na Mr wa Mahakama ya Wananchi, aiseeeeeeee!!! Huyu lazima angeibukia selo kesho yake 🙂Jamaa ni kichwa kweli...kaulizwa alijuaje ni Sabaya ndiye aliyeiba, akajibu nilimuona kwenye CCTV....Akaulizwa una uhakika gani jamaa alichukua hela...akajibu niliambiwa na Norman.
Akasema kwa sababu ya hofu, tarehe 17 alikimbilia Nairobi na familia yake...
Akaulizwa: Ulipima COVID19 maana kipindi hicho kuingia Kenya ilikuwa lazima utumwe....je aliingiaje Kenya?
Kama alipitia njia za panya, ana kesi ya kujibu.
Kama alipitia njia halali, watu wa mpakani upande wa Kenya wana Kesi ya kujibu kwa kupokea rushwa.
Takukuru anzieni hapo...nimewapa hints kidogo.
Mbona huendi mahakamani!??? Mlisema sheria ifuate mkondo wake, halafu mnakuja kujitapia humu JF!??? Pelekeni ushahidi mahakamani tuwasikie kwenye redio, runinga, na TV 🙂 sawa!???Mnahangaika sana kumsafisha huyo Sabaya, nawashauri muache huu utoto wenu, ushahidi wa uhuni wa Sabaya upo kila mahala mpaka kwenye video, ushahidi wa mtu mmoja ndio mnautumia kama kielelezo cha kushinda kesi, punguzeni ushabiki mandazi.
Hata Sabaya asingekuwa na wakili, hizo kesi uchwara ni ushamba na ulimbukeni tu wa mafisadi ambao wameanza kuibuka tena kama uyoga wa kiangazi cha kitropiki.siunaona wanavyoanza kujichanganya? yaani wajiandae haswa unajuwa kesi ni kitu cha ajabu sana ndiyo maana kuna watu wapo jela kwakuwa walishindwa tu kujitetea vizuri mahakamani hata huyo sabaya wakicheza tu anawatoka inategemea na wakili wake