Arusha sekii kutimiza miaka hamsini

Arusha sekii kutimiza miaka hamsini

njiro

Senior Member
Joined
Nov 7, 2010
Posts
150
Reaction score
113
Kwa wale wote waliosoma Arusha Sekii, jmosi hii mnatakiwa kufika hapo shuleni ili kupanga jinsi gani maandalizi ya miaka hamsini yawe.

karibuni sana wadau. 50 years si mchezo
 
pamoko mkuu....tutahudhuria sana.....ile shule imetufikisha mbali aisee....lazima turudishe fadhila.....
 
da pamoja xana,asante kwa taarifa..vp mipango inapatikana pale pale au?
 
mi ntmleta bro wangu cheche sema nowdayz amedata flan so mtamsamehe
 
Shule yetu ya Arusha ni ya siku nyingi,na uzuri wake wote umezidi sana..
Elimuu ni mwanga wetu,
Viva A'Sec!
 
am proud kusoma pale kwa kweli ntajitahidi nifike...
 
mi ntmleta bro wangu cheche sema nowdayz amedata flan so mtamsamehe

Spark dog yuko sawa hata jana nilikua naye, na sasa ana mke na watoto wawili, mmoja anaitwa bronx na mwingine broklyn.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
sekondari ya Arusha MUNGU ibariki,
Tubariki wanafunzi tushike elimu,
Watumishi na walimu watumike vyema,tuwe bora kwa Taifa kulitumikia,
Elimuuu ni mwanga wetu, hekima maarifa twapata kwa elimuu.x2

1962 shule ilianza,
Viongozi watalamu wamepasomea,
Maadili na nidhamu ndio nguzo yetu,
Haya shime tuzidishe kuitunza vyemaa,
Eliimuu ni Mwanga wetu, hekima Maarifa twapata kwa eeliiiimuuu.x2

(claping, celebrating with MR. MEDUKENYA AND MR. MALAMSHAA)
 
Dah una info zote izo na bado huoni bro wangu amedata,na ndo maana Utanisamehe maana sometymz swag nazo ni ukichaa
 
Spark dog yuko sawa hata jana nilikua naye, na sasa ana mke na watoto wawili, mmoja anaitwa bronx na mwingine broklyn.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
spark mbwa classmate wangu since Meru primary Arusha sec tukahamia wote old moshi.... Chalasi imemuharibu ganja za kugongea sio issue alivuta ganja iliyokuwa mixed na cocktail ila still kichwa chake kiko poa bado anatunga lyrics Kali...nafkir kwenye sherehe Malamshaaa atamualika Spark na kundi lake KID CAN KILL (KCK)
 
Back
Top Bottom