Arusha: Serikalini kuanza Ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa Mikutano wa MK-ICC Uliokwama Kwa miaka 18. Wadau, Hii renders Mnaionaje?

A
AICC vp?
 
Wakati anakanidhi Ofisi Kwa Mteule Mpya,Efraim Mafuru amesema Mda wowote kutoka Sasa , Serikali ya Mama itaanza ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa Mikutano ya Kimataifa Maarufu kama Mount Kilimanjaro International Convention Centre(MK-ICC) jijini Arusha.
Duh!....AICC si ipo?.....huo mpya wa nini?
 
Magufuli angekuwepo ujenzi huo na ule wa uwanja wa mpira Arusha kamwe visingetokea!
 
Eneo la kujenga ni wapi? Na unakamilika lini KABLA ya 2025, Kwa sababu Sasa mnaeleta miradi ya Kisiasa ya kuomba kura.
Na miradi mtaleta kura hatuwapi.
 
Mkutano ipi hiyo mkuu na inafanyika wapi hadi tuingie top 5?

Tanzania ina ukumbi gani wa maana hadi iwe kwenye top 5 ya kuandaa mikutano?
Sasa kama wewe unafuatilia zaidi umbea na porno Utajua wapi mambo ya Conference Tourism?

Je una habari kwamba Arusha Sasa hivi imerudi kwenye boom ya biashara ya Mahoteli ambayo inachagizwa na mikutano ya Kimataifa na Utalii?
 
Kwenye hiyo habari ya mwaka jana ni wapi wamesema Tanzania imekua ya 5 kwenye vikao na mikutano kiongozi?

Taarifa inasema Tanzania iko kwenye MICE spotlight, inaweza kufaidika na MICE events, wewe unasema tayari Tanzania inaongoza kwa ama iko nafasi ya 5 kwenye mikutano ya kimataifa, ndio maana nikakuuliza hiyo mikutano ilifanyika wapi?

Kwa huu uandishi darasa la 4 ulifaulu vipi? Ama shule ulienda kweli?
 
Kwa hiyo orodha ya Nchi 5 zimewekwa Kwa bahati mbaya au? Sikiliza video hizi hapa 👇

View: https://youtu.be/tcYLSjV9nu8?si=T9_QnIVriLjuc-P2
 
Hivi kanda ya ziwa wao wako wapi na utalii wa mikutano. serikali ipanue wigo
 
Yule bwana aliua hata ujenzi wa Magorofa Mijini.

Chini ya Mama miradi yote ya majengo ilivyokuwa imekwama Sasa imefufuka.

Kiufupi Magufuli alikuwa muharibifu sana.
Ona jinga hili, umeambiwa ujenzi ulikwama 18 years back, limeng'ang'ana na Magufuli tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…