Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,118
- 2,365
Exactly,ya 15k inakuwa haina mfumo wa heater, ya 20k afadhalicAcha upotoshaji. Ars unapata Lodge nzuri kwa 15k hadi 25k. Za kuanzia 20k zina breakfast. Msosi ni bei rahisi. Ninachoona pia umepigika sana kama unalia kula msosi wa 4k
NakaribiaNipo tengeru kwenye mishe zangu ,nipo hapa bar ya road kabisa nakula mbuzi choma, inaitwa Sumni bar
How muchUngechukua bodaboda akupeleke picnic ukale kuku wa kienyeji na ndizi safi
Nipo taracare hivarusha maeneo gani?
tarakea?Nipo taracare hiv
Kalibia na wapi ata sijui ningekupala location hapatarakea?
sogea mjini bado upo machakani mkuu si hapo crdbDr hyperkid now hapa nipo karibia ngaramtoni nimeiona bank
Nikipotea inakuwajesogea mjini bado upo machakani mkuu si hapo crdb
Unapewa na vile vifuko vya plastic tunavyowekewa sukari /bidhaa Dukani ili kuweka simu isiingie maji maana ukiacha simu chumbani inapitiwaGuest ya elfu saba ipo ila choo njee
Sasa Bugando mjini mkuu, huko ni Bugarika Kwa wananzengo na hizo ni for short timeMjini tena bugando
Wala kisafi kizuri kizuri kinaulinziUnapewa na vile vifuko vya plastic tunavyowekewa sukari /bidhaa Dukani ili kuweka simu isiingie maji maana ukiacha simu chumbani inapitiwa
Ahhahah sawa nalinda mfukoChunga usije ukala nauli tu
Ahahhah sawa bhnaTafuta pesa ndugu afu 4 sio hela ya kulalamika
Niwapi ukoSasa Bugando mjini mkuu, huko ni Bugarika Kwa wananzengo na hizo ni for short time