Mwaka juzi nilifika Arusha usiku,tafuta sana guest zimejaa,nikabahatisha hapo karibu na uwanja wa sheikh Amri Abeid guest mbovu kinoma choo na bafu vipo nje...mashuka yananuka.Asubuhi natafuta supu kuuliza bei 4,000/=.Mchana nakaondoka zangu kuelekea boda ya Holili Rombo.Pale Holili kuna supu ya kuku wa kienyeji imenda shule sana.Bila kiwasahau wachoma nyama hapo Himo bar ya Mombasa.Hellow
Nimekuja zangu Arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7,000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali, natafuta chakula kuanzia 2,000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula sishibi nitarudi Dar nimekonda, Dar kule maokoto mengi sina.
kutoka mtaa mmoja hadi mwingine kwa mguu unaweka omba pooChunga usije ukala nauli tu
huwezi potea arusha kamweNikipotea inakuwaje
shuka hapa afrikana kwa god kuna kilo ya nyama choma mezaniNipo tengeru kwenye mishe zangu ,nipo hapa bar ya road kabisa nakula mbuzi choma, inaitwa Sumni bar
Aya nielekezehuwezi potea arusha kamwe
Ningependa utupatie fundisho juu ya hili kama hautojali mkuu. Karibu.Tafuta pesa kaka..
Ila zinaa inaondoa baraka
Kijana hawezi kula, picnic ataweza kitu gani?Kajipooze picnic
Noma sanakutoka mtaa mmoja hadi mwingine kwa mguu unaweka omba poo
Uliza tuliopo tukupe maokoto ya ki ara chuga msosi mkali 1,500 2,000 iyo 4,000 nahc biriani guest mpka za 15 zipo hadi 10Hellow
Nimekuja zangu Arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7,000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali, natafuta chakula kuanzia 2,000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula sishibi nitarudi Dar nimekonda, Dar kule maokoto mengi sina.
KweliUliza tuliopo tukupe maokoto ya ki ara chuga msosi mkali 1,500 2,000 iyo 4,000 nahc biriani guest mpka za 15 zipo hadi 10