Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

Upo maeneo Gani nikupe address za maeneo unaweza pata vitu kwa bei standard kidogo
 
Nenda Unga LTD Kuna gest za 15000 quality ya Kati, chakula Bei poa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ahahahah ww mzee tulia uko kwako nina pis kali
Umesema huwezi kutoa elfu 50 kwa demu eti mwisho elfu 12, sasa utawezaje kumiliki Pisi kali kwa elfu 12

Kwanza hujui Pisi kali lazima iwe inanukia unyunyu, unajua bei ya unyunyu mzuri ni 75,000 hadi 350,000 huko sasa kwa elfu 12 yako unataka huyo Pisi kali yako ipake Samli sio 🤪
 
Ahahahah ninyi watunze ss tutawala kimasihara
 
Khaaa!..Gesti ya 7000?ndio zilizopo Dar nini?sasa hio si unakutana na mbung'o kitandani?🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…