Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

Pazur ila bei za vinywaji zimechangamka sana
Aces pazuri???
🀣🀣 nyie nyieeee!!!

Chakula chao kizuri, ila pazuri ni private room tu.
Kule club dah πŸ˜€ hapana kwa kweli
 
Pisi kali labda anahis zinapaka GIFT OF ZANZIBAR
 
Kama sio Wa Arusha ni kawaida muzee wale ni wao kwa wao
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ umekurupuka kwenda mji wa watu ona Sasa fedheha iliyokupata huko.

Rudi tu kwenu Dar penye maokoto makubwa makubwa
 
Aces pazuri???
🀣🀣 nyie nyieeee!!!

Chakula chao kizuri, ila pazuri ni private room tu.
Kule club dah πŸ˜€ hapana kwa kweli
Wanavyosema watu... kwa umri na hadhi yangu siwezi kwenda pale
 
Sema vijana hamna pesa ila Arusha sio mji wenye gharama kubwa za maisha.
Hela imekuwa haishikiki kwa vijana wengi, hapo hadi wafike miaka 45 huko ndiyo wanaweza kuwa financially stable


Ila kwasasa lazima walalamike kukosa guest house za elfu 10 kumi hapo Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…