Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

Yaani wwe una pesa ya kula na kulala uswazi alafu utaki uswazi!? Yaani unataka kula na kulala uzunguni,!? Ishii kwa urefu wa kamba yako hutopata shida!!
Sawa babu
 
Ahahahah kabisa mkuu namshikilia vzr wew acha tu
Basi mshikilie akupe mtaji ufanye biashara zako, ili siku nyingine akikutoa out wa dinner bill ikija una mwambia Mama ...babe don't worry I will pay it all 🤪
 
Wanasema mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe, hakikisha nguvu hizo unazo plus leseni ya mahaba kutoka Tanga unaimiliki.

Ni hayo tu mjukuu wangu 🥂
Sawa babu naongezea ujuzi toka Mtwara
 

Umepigwa.
Arusha Mjini Mita chache Kutoka Stend yaani Nusu kilometre unapata Guest nzuri ya elfu 15.
Chumba kimenyooka,
Kitanda na godoro cha kisasa.
Bafu na Choo ndani Kwa ndani. Maji ya baridi na Moto kwenye bomba la Mvua.
Guest Ipo ndani ya uzio.
Mashuka yamenyooka ingawaje natumiaga mashuka yangu.
Hakuna Harufu na kuna Airfresh unaweza kuutumia ukihitaji.

Ukikaa wiki nzima unalipia 12,000/=
Nikifikaga Arusha hiyo Guest nimeifanya yangu.
 
Nipe connection wiki 12k wewe
 
Waulize viti maalum na waliopo siasani na wale wenye nafasi zao maofisini na biashara kubwa na ndogo kama watakuhakikishia kuwa ilibidi waikwepe na kuikimbia kabisa zinaa ili wafike hapo walipo.
OMG... why waikimbie wakati wengi walihonga nyuchi ili wapate vyeo? Hiyo si zinaa? Hoja yako ina hang!
 
Nipe connection wiki 12k wewe

Nenda Stend ndogo ya mabasi, ukiwa unatokea mjini Kabla haujaifikia Stend ndogo(ukiwa unaiona Mbele yako) kuna barabara ya lami inakunja kushoto, kisha utatembea Mita thelasini, utakatisha mkono wa Julia(bado barabara niza lami). Utatembea Mita arobaini tena, utakata kushoto. Hapo utakuta Guest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…