Pre GE2025 Arusha: Sisi tunamgombea wetu, Makonda tutamjazia fomu kwa lazima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Baadhi ya wananchi vijana wameungana na madiwani wa Arusha Mjini kumtaka Paul Makonda ambaye kwa sasa ni mkuu wa Mkoa wa Arusha kuchukua hatua ya kugombe nafasi ya Ubunge katika jimbo la Arusha Mjini

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma, Pia: Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini

1740596523882.png
 
Huwezi kuwasemea wapiga kura 300,000.
 
Back
Top Bottom