Paul Russell
New Member
- Mar 20, 2019
- 1
- 0
The Magnificent A-Ciry
Watu mnataka kufananisha Arusha na TakatakaView attachment 1052855
Ndugu kwa standards za Tzn hizo ni cities ingawa nyuma sana in terms of urbanization kulingana na miji ya Kenya,Tzn bado ni bush na poor sana kwa Kenya huu ni ukweli mchunguIf this what you call a city then Kisii, Kakamega,Thika, and Kericho should also be cities.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni city, huduma za kujamii ziko vizur,hata biashara ziko juu,revenue yao iko juu,miradi mingi hupelekwa uko kuimarisha city status kila mwaka...we Arusha umefika?Arusha hamna kizuri Kaka, you are from Moshi and I want to believe that you have been to Arusha too maana zinakaribiana, Do you think Arusha inastahili kuitwa city?.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
NBO, Mombasa, kisumu.mnakwama wapi?eldoret iko vizur kuna siku ilipambana na Arusha ikalemewa acheni ujinga wenuIf this what you call a city then Kisii, Kakamega,Thika, and Kericho should also be cities.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina CBD? Barabara hapa porini zipoHii in MarsabitView attachment 1052365View attachment 1052366View attachment 1052367
Sent using Jamii Forums mobile app
So wewe according you which Kenyan town do you think iko level Arusha?NBO, Mombasa, kisumu.mnakwama wapi?eldoret iko vizur kuna siku ilipambana na Arusha ikalemewa acheni ujinga wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
N
Ndugu kwa standards za Tzn hizo ni cities ingawa nyuma sana in terms of urbanization kulingana na miji ya Kenya,Tzn bado ni bush na poor sana kwa Kenya huu ni ukweli mchungu
Those are just your Emotions msee, Facts zinasema kuwa Tanzania ia More Urbanized than Kenya
Upo sasa mademu wa Kenya wapo cheap saanaMachalii wa Kenya ni wengi sana hapa A, wako poa sana hawananga noma. Napenda madem zenu wako cheap sana kwetu kwenye kuwamega. Nimerudi town mazee tusomane
Sent using Jamii Forums mobile app