Arusha,Tanzania

Arusha,Tanzania

Hyatt Regency Saba Saba Arusha
Screenshot_20190324-112541.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Magnificent A-Ciry
Watu mnataka kufananisha Arusha na Takataka
IMG_3343.JPG
 
Nina uhakia hamna ata Mkenya mmoja humu anajua sheria yao inasemaje kuhusu mji kupewa hadhi ya jiji.. ila ni ushabiki tu, kuna wakenya waelewa kwenye mada kama hizi hutawaona ila vilaza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EEEEEH...Wadangagiza hawaishiwi na vituko.....
 
Arusha hamna kizuri Kaka, you are from Moshi and I want to believe that you have been to Arusha too maana zinakaribiana, Do you think Arusha inastahili kuitwa city?.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ni city, huduma za kujamii ziko vizur,hata biashara ziko juu,revenue yao iko juu,miradi mingi hupelekwa uko kuimarisha city status kila mwaka...we Arusha umefika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Machalii wa Kenya ni wengi sana hapa A, wako poa sana hawananga noma. Napenda madem zenu wako cheap sana kwetu kwenye kuwamega. Nimerudi town mazee tusomane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N

Ndugu kwa standards za Tzn hizo ni cities ingawa nyuma sana in terms of urbanization kulingana na miji ya Kenya,Tzn bado ni bush na poor sana kwa Kenya huu ni ukweli mchungu

Those are just your Emotions msee, Facts zinasema kuwa Tanzania ia More Urbanized than Kenya
 
Back
Top Bottom