LGE2024 Arusha: TLP walia na wagombea wake kuenguliwa, wakata rufaa

LGE2024 Arusha: TLP walia na wagombea wake kuenguliwa, wakata rufaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kilio ni kile kile kwa wapinzani, balaa sana, huku kuna watu wamepongeza TAMISEMI kwa kufanya zoezi vizuri!:BearLaugh:

====



Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) mkoa wa Arusha kimelia na kuenguliwa kwa wagombea wao waliowasimamisha kwenye nafasi za uenyekiti katika mitaa mbalimbali jijini Arusha.

PIA SOMA
- LGE2024 - CHADEMA: Baada ya Waziri wa TAMISEMI kusema Wagombea walioenguliwa wakate rufaa, tumepokea taarifa ofisi za Mitaa, Vitongoji na Vijiji zimefungwa

- LGE2024 - Uchaguzi serikali za mitaa: Mamia ya wagombea wa upinzani waenguliwa, waapa 'kutosusia shamba'
 
Back
Top Bottom