Kilio ni kile kile kwa wapinzani, balaa sana, huku kuna watu wamepongeza TAMISEMI kwa kufanya zoezi vizuri!
====
Your browser is not able to display this video.
Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) mkoa wa Arusha kimelia na kuenguliwa kwa wagombea wao waliowasimamisha kwenye nafasi za uenyekiti katika mitaa mbalimbali jijini Arusha.