Mkuu si kulikuwa na magari mengine.ungepanda hayo.kama ulichelewa basi hiyo ni adhabu ya kulala sana ugeniniLeo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana.
Image abiria wanaanza kuingia kwenye gari ndio wanawekwa siti za nyuma alafu wanaokuja kwa kuchelewa ndio siti za kati na mbele mhhh alafu gari ni 3 by 2 nauli wanataka 25,000/=
Ivi nauli elekezi kwa basi kama hili la 3 by 2 ni bei gani
mkuu klm 15?Umeingia kichwa kichwa, hilo bus sio la abiria kama wewe mliokosa KLM express hilo ni letu 'wadau' hata ukiwa na elfu 15 unafika Dar. Elfu 25 umepigwa
ungeenda ofisi ya klm zipo na Bm hapo golden rose zipo gari mpaka saa tatuNdio maana nikasema nimechelewa imebidi nipande stend
Waligundua nyie ni CCM ndo mana mkatupiwa huko ndani kama mambuziHilo basi kuna siku tulipakiwa na mbuzi.
Kila nikiona comments yako lazima nicheke... KwanzaHilo basi kuna siku tulipakiwa na mbuzi.
Haaaaa Haaaaa 😂 jamani nimecheka 😂Abiria wameshaanza kula mayai ya kuchemsha,mahindi ya kuchemsha,maharage,e.t.c?
Ungejua wesingelipa nauli, hilo basi hata bure unapanda tuNdio maana nikasema nimechelewa imebidi nipande stend
Nimemaanisha Harambeemkuu klm 15?
Mkuu AZABU ni nini?Leo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana.
Image abiria wanaanza kuingia kwenye gari ndio wanawekwa siti za nyuma alafu wanaokuja kwa kuchelewa ndio siti za kati na mbele mhhh alafu gari ni 3 by 2 nauli wanataka 25,000/=
Ivi nauli elekezi kwa basi kama hili la 3 by 2 ni bei gani