angewapa JIWE tu mitano tenaHapo wamekupiga ila vumilia hilo hata elfu 18 unapanda, Utafika Dar saa tano usiku leo. Pole sana. Hilo basi nilipandaga miaka 20 iliyopita
Kumbe mnapatiwa na chakula kabisa? Basi wacha kulialia!Ni aina ya chakula tunapatiwa kwenye basi
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni aina ya chakula tunapatiwa kwenye basi
Kwanza tuambie maana ya azabu halafu tukujibu thread yako.Leo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana.
Image abiria wanaanza kuingia kwenye gari ndio wanawekwa siti za nyuma alafu wanaokuja kwa kuchelewa ndio siti za kati na mbele mhhh alafu gari ni 3 by 2 nauli wanataka 25,000/=
Ivi nauli elekezi kwa basi kama hili la 3 by 2 ni bei gani
Gari mkweche kama huo from Arusha to Dar si chini ya shillingi 5,000....zaidi ya hapo watakuwa wamekuibia tu hela yako.Leo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana.
Image abiria wanaanza kuingia kwenye gari ndio wanawekwa siti za nyuma alafu wanaokuja kwa kuchelewa ndio siti za kati na mbele mhhh alafu gari ni 3 by 2 nauli wanataka 25,000/=
Ivi nauli elekezi kwa basi kama hili la 3 by 2 ni bei gani
Ushauri atafute painkillers na piritonUtafika Dar kesho alfajiri mkuu vumilia tu
Mie nilishia kumla mtu kimasihara siku nyingineHilo basi kuna siku tulipakiwa na mbuzi.
Umepigwa hyo mzee Kwanza ulitakiwa ujue Leo Kuna treni to Dar hlo basi litafika saa 6-8 usiku litakuletea usumbufu wa kufika unapoenda Ila tren unafika asubuh Yan kama ulilala baa vile.Leo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana.
Image abiria wanaanza kuingia kwenye gari ndio wanawekwa siti za nyuma alafu wanaokuja kwa kuchelewa ndio siti za kati na mbele mhhh alafu gari ni 3 by 2 nauli wanataka 25,000/=
Ivi nauli elekezi kwa basi kama hili la 3 by 2 ni bei gani
Nililipanda siku moja. Tulitoka. Ars saa tatu. Kufika Moshi wakapaki. Abiria walitukana mpaka bas. Dar tuliingia usiku.Leo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana.
Image abiria wanaanza kuingia kwenye gari ndio wanawekwa siti za nyuma alafu wanaokuja kwa kuchelewa ndio siti za kati na mbele mhhh alafu gari ni 3 by 2 nauli wanataka 25,000/=
Ivi nauli elekezi kwa basi kama hili la 3 by 2 ni bei gani
Kitu gani hicho nifuateangewapa JIWE tu mitano tena
Alafu nna byk fast yako tu hapa sijui lini utafata
Sidhani kama hata lina mwenyeweNililipanda siku moja. Tulitoka. Ars saa tatu. Kufika Moshi wakapaki. Abiria walitukana mpaka bas. Dar tuliingia usiku.
Hivi Ile gari Ni ya Nani?
Kha!kha!kha!.Waligundua nyie ni CCM ndo mana mkatupiwa huko ndani kama mambuzi
Si ununue lako mkuuLeo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana.