Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,812 Reaction score 82,328 Nov 21, 2020 #61 Bushmamy said: Hapo wamekupiga ila vumilia hilo hata elfu 18 unapanda, Utafika Dar saa tano usiku leo. Pole sana. Hilo basi nilipandaga miaka 20 iliyopita Click to expand... Mwenyewe nimeshangaa kusikia jina la hilo bus nadhani likikuwepo tokea kipindi kile cha kina Air Msae.
Bushmamy said: Hapo wamekupiga ila vumilia hilo hata elfu 18 unapanda, Utafika Dar saa tano usiku leo. Pole sana. Hilo basi nilipandaga miaka 20 iliyopita Click to expand... Mwenyewe nimeshangaa kusikia jina la hilo bus nadhani likikuwepo tokea kipindi kile cha kina Air Msae.
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,892 Reaction score 52,491 Nov 21, 2020 #62 khaaa si ungepanda saibaba?
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Nov 21, 2020 #63 Alagwa said: Ni aina ya chakula tunapatiwa kwenye basi Click to expand... πππ Ww jamaa naona hutaki kuumizana kichwa kwenye kujibu kitu
Alagwa said: Ni aina ya chakula tunapatiwa kwenye basi Click to expand... πππ Ww jamaa naona hutaki kuumizana kichwa kwenye kujibu kitu