ARUSHA TOWN: i dont feel safe there in my business and normal life in general.

Hawauwawi bila sababu ila kama utaringia watu mali zako basi utatolewa utumbo...mind ur own business bila ivo utachinjwa tu.

hivi ni kosa mtu kuringia mali yake? hapo kwani ni sheria ipi imevunjwa endapo mtu akiringia kitu amabacho amekitafuta kwa gharama zake binafsi tena halali? unamaanisha kwamba incase nimenunua gari basi kila atakalitaka nimwachie atumie?

au una maana gani unaposema kuringia mali mkuu?
 
sijawahi ipenda Arusha na ninapaogopa sana.sitamani kuishi hapo na naomba Mungu 'mkoloni' wangu asihamishie huko kabisa!

kwanini unaiogopa arusha mkuu?

mbona wakulu wa kule wanasema mji uko safi na kuna maisha mazuri though ni expensive?
 
Arusha ni salama, kama utafuata simple rules
1. Mind your own business. Achana na mambo ya watu.
2. Usimdhulumu mtu. Toa kwa kadri mlivyokubaliana.
Ukifuata hizi simple rules wala huna cha kuhofia.

mkuu naomba nikuulize, unataka kuniambia kwamba mauaji ya mabilionea wa A town walikuwa kinyume na points ulizosema hapo? naomba Arushaone aje atoe neno hapa!

ndugu zangu mimi natamani sana biashara ya madini japo mtaji wangu ni kiduchu!! kwa milioni tatu na nusu sijui nianzie wapi!
 
Last edited by a moderator:
Kama ukija kwa amani mbona utaenjoy. Ila cha muhmu jifunze kuwa na mawasiliano mazur na wenyeji na usipende makundi ya wahuni coz utakuwa unavutia matatzo upande wako, vita za kimakundi zipo sana.
ahsante kwa ushauri besti!
 
Arusha ni salama, kama utafuata simple rules
1. Mind your own business. Achana na mambo ya watu.
2. Usimdhulumu mtu. Toa kwa kadri mlivyokubaliana.
Ukifuata hizi simple rules wala huna cha kuhofia.
mkuu umesahau rule moja muhimi ACHANA NA WAKE ZA WATU UTAISHI MAISHA MAREFU SANA SIO ARUSHA TU POPOTE.
 
Arusha ni mji mzuri sana unatakiwa tu kuzingatia yafuatayo

1. Kuwa mwaminifu
2. Usijihusishe na wake za watu

Achana na watu wanaosema sijui uji associate na watu wa kaloleni, makao mapya etc, no

Mimi niko kwenye group moja maarufu sana hapa Arusha, the group is very well connected with all big shark in town including the entire system, mention any one you wish to meet one day but I wouldn't also adv you to join the group at this juncture.

Just be yourself and stand for what you intend to accomplish
 
".....Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. " (Zaburi 127:1)
Karibu Arusha!
 
mkuu mtaji wa chini kabisa unaweza kuwa kama tshs ngapi hivi?

swala la mtaji linategemea na jinsi unavyotaka kufanya hiyo biashara coz kuna level tofauti. Kunawengine hawana mitaji bali ni midomo yao tu.
 
swala la mtaji linategemea na jinsi unavyotaka kufanya hiyo biashara coz kuna level tofauti. Kunawengine hawana mitaji bali ni midomo yao tu.

angalau basi ungenipa mwongozo,

je, wafanyabiashara wadogo wadogo huwa wako na initial capital kama shs ngapi japo najua wanatofautiana!

Kwa mfano mi nina tas 15m, je hiyo inaweza kunianzishia business?
 
Aise Mi ni chali fuluu na situmi kilevi chochote. A-Town pako fresh sana we usi mind madeali ya watu piga kazi zako nenda kwako Show off acha kila kitu kitakuwa poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…