Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
- Thread starter
- #21
Hawauwawi bila sababu ila kama utaringia watu mali zako basi utatolewa utumbo...mind ur own business bila ivo utachinjwa tu.
hivi ni kosa mtu kuringia mali yake? hapo kwani ni sheria ipi imevunjwa endapo mtu akiringia kitu amabacho amekitafuta kwa gharama zake binafsi tena halali? unamaanisha kwamba incase nimenunua gari basi kila atakalitaka nimwachie atumie?
au una maana gani unaposema kuringia mali mkuu?