Arusha: Ukikutwa umevaa Suruali ya kubana, Sketi fupi Faini Tsh. 50,000


CCM hoyeee!
 
Labda Bush ndani ndani huko na wote wanaongea lugha moja Ila sio mjini
 
Fika maeneo yaliyotajwa ukapate experience utajua ni mjini au ndani ndani
Napafahamu nimezaliwa Arusha, nimekulia Arusha, nimesoma Arusha na bado naishi Arusha..Kimnyaki ni ndani ndani huko Elkiding'a wanaishi wamaarusha orijino ishu kama hizo Hauwez leta hata oldonyosambu ambako watu wengi wamechanganyika
 
Nimesikia Aibu mimi kwa niaba ya Waziri Dorothy Gwajima, Yani Waziri Mzima ana endorse hii taka taka kweli? Sheria za ovyo sana izo tunarudi nyuma aisee
 
"Sheria Ndogo" (By-Law) kwa procedures zipi? kwa Government Notice ipi?

Yaani Waziri Gwajima (PhD) naye anakiri kabisa na kuita kuwa hiyo ni 'sheria ndogo'?

Hili Taifa bado lina safari ndefu sana walai.

-Kaveli-
 
Nimesikia Aibu mimi kwa niaba ya Waziri Dorothy Gwajima, Yani Waziri Mzima ana endorse hii taka taka kweli? Sheria za ovyo sana izo tunarudi nyuma aisee

Mkuu, hamna Sheria Ndogo (by law) yoyote hapo. Hivyo ni vikanuni uchwara tu wamejiwekea hao wananzengo, na havina essence yoyote kisheria endapo mtu akivivunja.

Waziri Gwajima nahisi amesahau au hajuwi 'Sheria Ndogo' ni kitu gani.

-Kaveli-
 
angalau aise
 
Poor mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…