Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
ARUSHA: UMATI wa wananchi bado uko kwenye foleni ndefu katika kituo cha kupiga kura cha Polling Station kilichopo katika kijiji cha Manyire kata ya Mringarini wilayani Arumeru mkoani Arusha.
Mmoja wa wananchi wa kijiji hicho aliyejitambulisha kwa jina la Alex Kimaro amesema kwa hali ilivyo huenda zoezi la kuhesabu kura likafika usiku hatua ambayo huenda wasimamizi wakatumia mwanga wa tochi au taa kufanya shughuli hiyo kwa umakini mzuri.
Soma Pia: Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
"Mbali ya changamoto ya foleni ila wananchi wamejitokeza kwa wingi sana kupiga kura hilo linaonyesha ni jinsi gani wananchi wana hamu na kuchaguzi viongozi wa vijiji na vitongoji kwa maendeleo yao" amesema Kimaro.