LGE2024 Arusha: Vurugu zatokea kati ya wakala wa Chadema na msimamizi wa uchaguzi.wananchi waingilia kati

LGE2024 Arusha: Vurugu zatokea kati ya wakala wa Chadema na msimamizi wa uchaguzi.wananchi waingilia kati

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Humu jukwaani kila siku CHADEMA wanahamashana kutojiandikisha na hakuna kupiga kura, sasa huyo wakala kaenda kusimamia nini? Aisee hii Nchi ni ngumu sana
kama unaelewa chadema wanataka nini juwa unashida
 
Uchaguzi unasimamiwa na mkwe! I mean you have to be an idiot to think it will be fair.

Swali ni wananchi (na sio upinzani) watafanya nini baada ya uchafuzi huo?
Mama mkwe aliwahi kusema kuwa mkwewe ana kifua kipana hivyo ataimudu TAMISEMI. Sijui kifua alikiona wapi!!
 
Back
Top Bottom