Humu jukwaani kila siku CHADEMA wanahamashana kutojiandikisha na hakuna kupiga kura, sasa huyo wakala kaenda kusimamia nini? Aisee hii Nchi ni ngumu sana
CCM ni chama cha kishetani. Nchi imelaanika kutokana na mashetani haya yanayoitwa CCM. Hawa watu hawafai kwa lolote, dini yao kubwa wanayoiabudu ni uovu.