TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Chanjo ni biashara mkuu na mzigo mwingine umeshuka jana sijui ndio inaitwaje!Kwa hiyo chanjo hazisaidii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanjo ni biashara mkuu na mzigo mwingine umeshuka jana sijui ndio inaitwaje!Kwa hiyo chanjo hazisaidii?
Omicron ipo ya Kumwaga ila uzuri kutoboa rahisi unapigwa homa baada ya muda unaendelea Kwahio naweza kusema hii Omicron ni nzuri kuliko kaka zake waliotangulia
Yule mzee alipowaambia tiba asili ina msaada mkasema, oooh anapingana na sayansi, oooh mzee anaua watu, leo mnarudi kule kule 😂!Uhatari wa Omicoron ni kwa namna inasambaa kwa upesi kuzidi binamu zake akina Delta, ila haina madhara sana haswa kwa watu wasiokua na matatizo mengine ya kiafya, ikikukuta piga malimau na tangawizi na kitunguu saumu na pia mazoezi.
Mimi hapa hayo ndio yamekua maisha yangu ya kila siku, niwe mzima au la, juzi nimevurugwa na likorona fulani sijui ndio Omicoron au Delta ila siku mbili likaondoka lenyewe maana lilikuta nimejiandaa na kujichimbia mahandaki ya kutosha.
Tatizo ni ukutwe unaumwa vitu vingine, kwanza ikukute una matatizo ya VVU na haujawa ukishughulika ndio basi.
Cannabis acha mambo ya hear say, mm nimeuhua covid sasa hizi pampela wadanganye wengine Corona ipo.Waziri mkuu kasema hizo ni propaganda hakuna hata mgonjwa mmoja wa omricon, ni watu tu wanataka kuharibu nchi[emoji38]View attachment 2055794
Hata Mugu alipofariki alisema yupo hai. Mwenye macho aambiwe tazama na mwenye masio haambiwi sikia na wala mwenye akili timamu haambiwi fikiriaWaziri mkuu kasema hizo ni propaganda hakuna hata mgonjwa mmoja wa omricon, ni watu tu wanataka kuharibu nchi[emoji38]View attachment 2055794
Unafiki mwingi sana humu nchiniYule mzee alipowaambia tiba asili ina msaada mkasema, oooh anapingana na sayansi, oooh mzee anaua watu, leo mnarudi kule kule [emoji23]!
Yule mzee alipowaambia tiba asili ina msaada mkasema, oooh anapingana na sayansi, oooh mzee anaua watu, leo mnarudi kule kule 😂!
Ulipima kabisa ukaambiwa ni Corona ya Omicron ?Cannabis acha mambo ya hear say, mm nimeuhua covid sasa hizi pampela wadanganye wengine Corona ipo.
Mengi umeandika porojo but alisisitiza natural remedies, full stop.Hamna, huyo mzee aliwayumbisha sana, hakua anasimamia kimoja aeleweke, mara imeisha kwa maombi ya siku tatu, mara ipo kwenye mbuzi na mapaipai, mara ameruhusu profesa afuate mataputapu kule Madagascar etu ndio dawa ya corona, tena kwa kutumia ndege ya taifa, yaani mpaka ikamlamba tukaambiwa yupo bizi kikazi na hakwendi sijui Kariokoo.
Tiba asili siku zote hakuna aliyepingana nazo, ila serikali haiwezi kuendeshwa kwa upigaji ramli, mfumo wa kiserikali upo kisayansi, hata cheo cha rais kimebeuniwa kisayansi (kasome civic education). Hivyo rais lazima azingatie ushauri wa wataalam walioteuliwa kisayansi maana hata gonjwa lenyewe limegunduliwa kisayansi.
Tiba asili tunapiga mtaani kubahatisha tu, na kwa ambao inafanya kazi basi tushukuru ila muhimu kuchukua tahadhari.
Mbona huo ushauri haukumsaidia yeye, tukaishia kuambiwa hafanyi kazi kariokoo...heheheMengi umeandika porojo but alisisitiza natural remedies, full stop.
Kwa akili yako timamu au kuambiwa alifariki kwa that disease?.Mbona huo ushauri haukumsaidia yeye, tukaishia kuambiwa hafanyi kazi kariokoo...hehehe
Kwa akili yako timamu au kuambiwa alifariki kwa that disease?.
ili kupata ukweli waliokuwa wanacheza nao yaani watanzania nao wapimwe kama hawana au wanao basiiiiiii
Duh! Lakini sitegemei mama Samia atajichikoea na kuanza kuficha kama mwenda zake, ni dhahiri huko Tz sasa hivi mnaogelea kwa kirusi, yaani huwa mpo mpo tu, bahati na tushukuru Mungu sana hiki kirusi hakiui sana Afrika, la sivyo kwa namna mlivyojichokea kwenye haya mapambano mngefutwa kabisa.
Nakumbuka zile mambo za pima pima pima pima , sijui mliishiaga wapi [emoji3][emoji3][emoji3]
Haki nyie ni vilaza
Tumehamia kwenye chanjo, ambapo tumechangamkia balaa, hatujajichokea kama nyie huko ambapo kilisababisha hadi msiba wa taifa.
Sema napendezwa na hatua za mama Samia, ameweka lazima kila Mtanzania anayetaka kutoka nje ya nchi achanjwe, huchanjwi baki ndani.
Yule mzee wenu kwa kweli alikua amepitwa na wakati alikua anawatumbukiza baharini. Halafu alikopa madeni yaani.
![]()
Tanzania Health Ministry stipulates new Covid requirements for travellers
The measures include vaccine mandates and mandatory Covid-19 testing to reduce or prevent further spread of the disease.www.theeastafrican.co.ke