Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo.
NB:
Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara hiyo.
Cc: Mpwayungu Village
NB:
Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara hiyo.
Cc: Mpwayungu Village