Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Si kweliKuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo.
NB:
Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara hiyo.
Cc: Mpwayungu Village
Mwalimu mwenye akili timamu Na mwenye kujiamini hataenda.Kuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo.
NB:
Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara hiyo.
Cc: Mpwayungu Village
[emoji38][emoji38][emoji38]Kuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo.
NB:
Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara hiyo.
Cc: Mpwayungu Village
Niyakishamba sanaHii kada hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo maana kada ya Ualimu inadharaulika sana hapa nchini , mqana waalimu wamefanywa kama watoto wadogo wa shule ya msingi.
Cc Mpwayungu Village
Wanafukuzwa kaziHalafu wasipojitokeza, watawafanya nini?
Last time walichangishwa PESA YA MWENGE na Haina risitiHizi mambo ya kuendeshwa Kama mtt ninayakataa mpaka kesho
Atafanyiwa visa hadi akome.Mwalimu mwenye akili timamu Na mwenye kujiamini hataenda.