Pre GE2025 Arusha: Wananchi wakasirika wamvaa Mbunge Gambo mkutanoni "Unatuangusha, sisi tunakufa"

Pre GE2025 Arusha: Wananchi wakasirika wamvaa Mbunge Gambo mkutanoni "Unatuangusha, sisi tunakufa"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gambo amepata kiboko yake, akipata kupitishwa kamati kuu kuwania ubunge Chuga sijui...!
 
Kanywea huyooo kawa mdogoooo kama piritoni , unafikiri hata akili ilibaki hapo ? Anawaza hapa sitoboi tena ntaikumbuka dodoma mimi🤣🤣
 
Back
Top Bottom