Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
Kweli Sasa nimeamini kama Lissu hatashinda basi hakuna CHADEMA tena Tanzània,
Mfikishieni Mbowe habari hizi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mr Odero ana haki ya kugombea kama mtu mwingine.Kama Hawa ni wafuasi wa Lisu siasa imewashinda.Wapiga kura wataamua nani awe mwenyekiti.Mwenyekiti hapatikani kwa kuzomea au kutokuzomeaKweli Sasa nimeamini kama Lissu hatashinda basi hakuna CHADEMA tena Tanzània,
Mfikishieni Mbowe habari hizi,
Mr Odero ana haki ya kugombea kama mtu mwingine.Kama Hawa ni wafuasi wa Lisu siasa imewashinda.Wapiga kura wataamua nani awe mwenyekiti.Mwenyekiti hapatikani kwa kuzomea au kutokuzomea
Angalia hiyo videoAmezomewa akiwa Arusha sehemu ipi ? Weka ushahidi wa video au walau picha.
Nakuona mr mboye mrafi wa fesa! Hata matapishi kwako ni halaliMr Odero ana haki ya kugombea kama mtu mwingine.Kama Hawa ni wafuasi wa Lisu siasa imewashinda.Wapiga kura wataamua nani awe mwenyekiti.Mwenyekiti hapatikani kwa kuzomea au kutokuzomea
Angalia hiyo video
Sisi ndio wale tumekuta home.hakuna hata KIWANJA tunabangaiza tuNaona mbangaizaji wa taifa unaendelea na kubangaiza na taarifa zako.
Lissu hazuiliki KabisaView attachment 3186159
Kweli Sasa nimeamini kama Lissu hatashinda basi hakuna CHADEMA tena Tanzània,
Mfikishieni Mbowe habari hizi,
Hali Mbowe ni mbaya sana na huo ndio UkweliView attachment 3186159
Kweli Sasa nimeamini kama Lissu hatashinda basi hakuna CHADEMA tena Tanzània,
Mfikishieni Mbowe habari hizi,
Mbona clip ipo hapo?Amezomewa akiwa Arusha sehemu ipi ? Weka ushahidi wa video au walau picha.
Mbona waoga wa demokrasia?Huyo Lisu kama ni jembe si amshinde Mbowe kwa kura?Mnachagua mgombea laini.Pambaneni na Mwamba mshinde sio mnaleta demokrasia ya uoga na kuteua wagombea.Mbowe angejiuzulu na kuwaachia Lissu na Odero wapambane kwenye Box la kura CHADEMA kingebaki inara sana.
Unaamini demokrasia itafanyika? Yaani Mbowe aanguke kwenye kura na matokeo yatangazwe? Kuna kitu tunaita "incumbency advantage" huwezi kuandaa kamati ya uchaguzi mwenyewe alafu ushindwe!!Mbona waoga wa demokrasia?Huyo Lisu kama ni jembe si amshinde Mbowe kwa kura?Mnachagua mgombea laini.Pambaneni na Mwamba mshinde sio mnaleta demokrasia ya uoga na kuteua wagombea.
Incumbency advantage sio dawa ya kushinda tu.Kuna ma incumbent wengi tu wameshindwa.Unaamini demokrasia itafanyika? Yaani Mbowe aanguke kwenye kura na matokeo yatangazwe? Kuna kitu tunaita "incumbency advantage" huwezi kuandaa kamati ya uchaguzi mwenyewe alafu ushindwe!!
Hujaelewa, it's clear kwamba Mbowe anasupportiwa na top bureaucrats wa chama ila wanachama tupo upande ww Lissu.Incumbency advantage sio dawa ya kushinda tu.Kuna ma incumbent wengi tu wameshindwa.
Kama Lisu ana numbers na chaguo sahihi kwa wajumbe atashinda na kama sio hivyo bali ni mgombea wa vikundi vya mitandao atashindwa.
Nimeona mawazo ya wanaomuunga mkono Lisu ni kuachiwa kiti cha Uenyekiti bila Mbowe kugombea.
Huo ni udhaifu mkubwa mnataka demokrasia lakini kwa masharti yenu tu ndio iwe demokrasia.
You cannot eat your cake and have it too.
Tarehe 21 Januari 2025 pambaneni kwenye sanduku la kura mkishindwa fine mkishinda fine.
Hii si ndio misingi ya demokrasia?Au demokrasia kwenu ni incumbent amuachie mgombea wenu bila kupigiwa kura?
The choice is yours.