Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
- Thread starter
- #21
Sahihi KabisaMr Odero ana haki ya kugombea kama mtu mwingine.Kama Hawa ni wafuasi wa Lisu siasa imewashinda.Wapiga kura wataamua nani awe mwenyekiti.Mwenyekiti hapatikani kwa kuzomea au kutokuzomea