Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
- Thread starter
-
- #21
Sahihi KabisaMr Odero ana haki ya kugombea kama mtu mwingine.Kama Hawa ni wafuasi wa Lisu siasa imewashinda.Wapiga kura wataamua nani awe mwenyekiti.Mwenyekiti hapatikani kwa kuzomea au kutokuzomea
Lissu ni balaaView attachment 3186159
Kweli Sasa nimeamini kama Lissu hatashinda basi hakuna CHADEMA tena Tanzània,
Mfikishieni Mbowe habari hizi,
Hao ni wapiga kura?View attachment 3186159
Kweli Sasa nimeamini kama Lissu hatashinda basi hakuna CHADEMA tena Tanzània,
Mfikishieni Mbowe habari hizi,
Lisu ni kama maji, usipoyanywa utayaogaLissu hazuiliki Kabisa
Daaah hii ni balaaView attachment 3186159
Kweli Sasa nimeamini kama Lissu hatashinda basi hakuna CHADEMA tena Tanzània,
Mfikishieni Mbowe habari hizi,
Ngoja tuone KeshoView attachment 3186159
Kweli Sasa nimeamini kama Lissu hatashinda basi hakuna CHADEMA tena Tanzània,
Mfikishieni Mbowe habari hizi,