Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Baada ya Lema kupata mapokezi makubwa Arusha nimependezwa na Kauli ya wananchi wa Arusha kutaka Roma arejee home. Ikumbukwe Roma siyo mkazi wa Arusha Bali ni Mtanzania aliyetoroka nchi.
Wananchi wa Hali ya chini wanamkumbuka Roma na kumwombea usalama arejee nyumbani lakini wasanii wenzake hakuna aliyewahi kutoka adharani kutoa japo kauli ya kuumizwa Kwa mwamba huyu wa hip hop nchini.
Tunajifunza nini; siku zote walio na kipato kidogo Wana umoja DHIDI ya wenye kipato. Muda ukifika wenye vipato vikubwa wanatambua nafasi ya wasio na vipato tutapendana na kuishi kama ndugu.
Roma rejea home Wana wanakusubiri Kwa hamu, unaweza kupigana ukiwa mbali Ila fikiria pia kupigana ukiwa karibu.