Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Wako baadhi ya watu wanaodhani kuwa kuzungumza lugha ya kingereza ni lazima uwe na elimu,hali ambayo huchukuliwa tofauti kabisa na wakazi wa Arusha.
Ikumbukwe kwamba Arusha ni mkoa wa kitalii na hupokea watalii toka nchi mbalimbali wanazungumza lugha tofauti tofauti.
Ukiwa Arusha ndipo utastajaabu kukutana na wazungu wengi wasiokifahamu kingereza.
kwa uchunguzi wangu wa haraka unaonyesha kuwa Arusha ndio mkoa wa pekee ambako lugha nyingi za kimataifa hufundishwa
Kuanzi kingereza, kifaransa,kijerumani na Kispania.
kati ya vijana kumi utakao kutana nao katika jiji hili basi wawili watakuwa wanazungumza lugha zaidi ya moja ya kimataifa.
Arusha ndio mkoa ambao wazoa taka,madada poa,dereva toyo na taxi,darasa la nne kama sisi,wauza mitumba,na wengine wanazungumza kingereza na lugha nyingine.
Basi kama bado unaamini kujua kingereza hadi uwe na elimu KARIBU ARUSHA
yani huku COLLEGE huwa wanapambanishwa na CHUO KIKUU KWENYE MIDAHALO,kama unabisha jaribu.