Arusha wanazungumza sana kingereza na lugha nyingine za kimataifa

umekimbia mkuu... au nawewe ndio unaishi arusha lakini una jifungia ndani? na una jiesabu upo arusha na una ifahamu arusha!
 
Njoo huku double B', Sunflag Park/Estates (Njiro) nikupeleke Lemara...!
 
Mbona mnasahau kwamba muhenga mmoja msomi alisema arusha ni Geneva of Africa!!?
 
Arusha wakaazi wengi , hasa asili ya maasai/meru, exposure ndogo bali hudhan kuzaliwa Arusha ni kila kitu. Jamaa wa kiume na Dada zao hawataki kutengeneza maisha ya kujitegemea, we kike kutaka mali za urithi halikadhalika kaka , wachache wanaojitambua.
 
Umechemsha; wapo waitaliano kibao na hawajui kiingereza bali guides wao wa kitanzania wanaongea kiitaliano kama kiswahili
Wanazuga tuu mkuu.. abc za kingereza wanazo. Jaribu kuwateta uone
 
Arusha wakaazi wengi , hasa asili ya maasai/meru, exposure ndogo bali hudhan kuzaliwa Arusha ni kila kitu. Jamaa wa kiume na Dada zao hawataki kutengeneza maisha ya kujitegemea, we kike kutaka mali za urithi halikadhalika kaka , wachache wanaojitambua.
We ni ngosha bila shaka

Ebu tutajieni hizo english class za Arusha ili tuje tusome basi.
 
Back
Top Bottom