Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Yaani Hilo Benz ndiyo lilikuwa linasafirisha gramu 70.77? siyo kilo 70 ni gramu 70 ambayo ni sawa na ganda la kiberiti?Mama alisema watolewe
Boss mwenye hilo Benz kama hana taarifa atasikitika sana.
Umenikumbusha kitu πππ,Bila kuwa na side hustle tutakula wali bila mafuta au chai bila sukari. Kila kitu bei juu. Tufanyaje ss
noma sanaUmenikumbusha kitu πππ,
Yani Sahiv inabid utumie akili ya ziada kabisa
Yaani Hilo Benz ndiyo lilikuwa linasafirisha gramu 70.77? siyo kilo 70 ni gramu 70 ambayo ni sawa na ganda la kiberiti?