Na ule weuzi mtelezo aisee wakubwa wafwaidi bhana arraaa!Sabaya ni mfirwa mwanawane
Huko gerezani wahuni wana mpiga mtungo ninavyosikia
Na pia anajinyea sana tu πΆπ
Hivi Bia yetu alipotealaga wap,baada ya mwamba kuanguka tuu na yy akapotea hewania.k.a Eltwege
Aliwahi kumuuzia ubunge Felix
Mrengo, sera, falsafa, msimamo, muundo, malengo, sheria na kanuni[ Elimu ].Wewe ulitaka alete kipi ambacho umekikosa?
Alikuwa wa Chama chenye hela!Aliyenunua ubunge wake alikuwa wa chama gani na aliununua shillingi ngapi?
Ndio hawa wenye ID mpya unazoona.Hivi Bia yetu alipotealaga wap,baada ya mwamba kuanguka tuu na yy akapotea hewani
Manyapara wanapeana zamu ya kumla huyo jambazi
Ataheshika sanaYani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?
Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.
Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.
Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Asante Mungu Kwa kutenda. Kuliondoa jinamizi la mauti na kumleta mlinzi wa uhai. Wasn't Yessu @johntheAcha tuu Yani hii Dunia Kweli Mungu hanywi uji!?? Miaka kadhaa iliyopita
Nani alijua Sabaya atakuwa jela!?
Nani alijua Makonda atajificha!?
Nani alijua musiba atapotea!?
Nani alijua bwana yule hatakuwepo!?
Nani alijua lisu atarudi nyumbani kwao ( Tz)
Ana alijua doto James atakoka hazina?
Nani alijua chato haitakuwa mkoa tena!?
Aisee heshimini watu sponsor hufa!!!
Kazi ya halali haina laana yoyoteKweli kuna wavivu wa kufikiri na kuitafakari. Aliyoyasema Lema si kuwa kazi Ile ni "laana" tu, Bali alitoa na sababu za kazi Ile kuwa laana na kupendekeza njia mbadala. Hebu tuache propaganda za kuwahadaa wenye uelewa mdogo ili waendelee kuteseka kwa manufaa ya werevu wachache wanaowatumia kwa manufaa yao. Tunaangamia kwa kukosa maarifa; tunaelimishwa lakini hatuelimiki!
Lema kazoea kula na Kulala bure Canada, anataka kila mtu aishi hivyo. Ndio maana ushoga unaongezekaUmelipwa shngapi baada ya kuzunguka sehemu mbali mbali na jasho kukutoka kuulizia juu ya iyo kauli
Logical non sequitur.Lema yeye anafanya kazi gani huko Canada? Angeeleza kazi yake kwanza ndio azungumzie za wengine. Sio wote wanapenda kulelewa
Au yupo tayari mtoto wake awe bodaboda?Wewe ni bodaboda?