Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Sahihi kabisa hizi siasa tulizikosa kwa muda mrefu.
 
Nani alijua jiwe angetupwa kwenye ziwa la.moto huko aliko
 
Ndiyo heshimu Kila mtu kama unavyo heshimu taulo lako kwa sababu sehemu utakayofutia tako lako Leo pengine kesho ndipo utakapofutia uso wako
 
Yani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?

Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.

Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.

Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Ataheshika sana
 
Acha tuu Yani hii Dunia Kweli Mungu hanywi uji!?? Miaka kadhaa iliyopita
Nani alijua Sabaya atakuwa jela!?
Nani alijua Makonda atajificha!?
Nani alijua musiba atapotea!?
Nani alijua bwana yule hatakuwepo!?
Nani alijua lisu atarudi nyumbani kwao ( Tz)
Ana alijua doto James atakoka hazina?
Nani alijua chato haitakuwa mkoa tena!?
Aisee heshimini watu sponsor hufa!!!
Asante Mungu Kwa kutenda. Kuliondoa jinamizi la mauti na kumleta mlinzi wa uhai. Wasn't Yessu @johnthe
 
Kweli kuna wavivu wa kufikiri na kuitafakari. Aliyoyasema Lema si kuwa kazi Ile ni "laana" tu, Bali alitoa na sababu za kazi Ile kuwa laana na kupendekeza njia mbadala. Hebu tuache propaganda za kuwahadaa wenye uelewa mdogo ili waendelee kuteseka kwa manufaa ya werevu wachache wanaowatumia kwa manufaa yao. Tunaangamia kwa kukosa maarifa; tunaelimishwa lakini hatuelimiki!
Kazi ya halali haina laana yoyote
 
Lema yeye anafanya kazi gani huko Canada? Angeeleza kazi yake kwanza ndio azungumzie za wengine. Sio wote wanapenda kulelewa
Logical non sequitur.

Mimi nishapita kumuongelea Lema naongelea hoja.

Wewe huna uwezo wa kufanya abstract thinking kutoka kwa Lema kwenda kwenye hoja.

Hiyo ni tofauti kubwa kati yangu na wewe.
 
Back
Top Bottom