Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Hivi bado ni 7000/= au ishagapanda? Maana Boom lenyewe tu limepandishwa tayari.
Kwanza hata hiyo 7000 ni kubwa mno kwa uchawa wanaoendekeza kwa kutetea upuuzi afu tatu ingekuwa stahili yao .Wanaowalipa wajue ni matumizi mabaya ya raslimali fedha
 
Sabaya kuja kuwa rais Haiwezekani kamwe. Labda kuzimu lkn siyo nchi hii ya Tanzania.

Kusema kwamba Lema siyo mtu mzuri ni ufitini unakusumbua tu. Tutajie ubaya wa Lema.
 
Yaani polisi wote waliokuwa wanasema Chadema mtapata tabu sana mkiandamana Leo hii ndo wanafurahia maandamano ya chadema na kuyapa ulinzi mkali [emoji23][emoji23][emoji23]
RPC wa Dodoma alijizolea umaarufu enzi za jiwe baada ya kusema chadema wakiandamana watapigwa kipigo cha mbwa koko.
 
Uchochezi dhidi ya kauli kuntu ya Lema haiwezi kuwafanya wanaomuunga mkono wamchukie kwani kazi ya bodaboda iliyowafanya vijana wengi kuwa vilema na kugeuka tegemezi haiwezi kuwa mbadala wa ajira rasmi ziwe za kuajiriwa au kujiajiri .Huyo Lema nguvu yake Arusha itamfanya mbunge wa hapo awe anapata usingizi wa mang'amung'amu.Na 2025 hakutakuwa na mbeleko kama enzi za mwendazake 2020 lazima apambane kwa nguvu zake
 
Huna hoja pimbi wewe
 
Hongera kwa kuliona hilo, mie nilishaanzisha hiyo mada humu jf ikafutwa,kilichopo ni chadema wamepewa maelekezo na mamlaka kuwa wapambane na jpm na wanamalipo yao kwa kila mwezi na mikutano yao inagharamikiwa na hela za walipakodi
 
©Fedha za China
©Fedha za Seychelles
©Fedha zilizofichwa kwenye kampuni binafsi.
©Fedha Trilion 1.5 zilipohojiwa tu, unafahamu kilichotokea.
Mwl. Jkn tunamuita safi kwa sababu hakufanya ya aina hii,
Mwl. Alikuwa na mapungufu yake lakini sio utoroshaji fedha za nchi.
HAYO HAPO YATAKAPOTOLEWA MAELEZO SAHIHI NDIPO TUTAKAPOSEMA HAKIKA HUYU KIONGOZI ALIKUWA SAFI NA MZALENDO.
 
NENDA MAHAKAMANI mbona Mwigulu alituambia Tukimbilie BURUNDI hamkuhamaki?
 
WEWE MWENYEWE UNAAMINI ila unaogopa kusema Magufuli alikuwa ana uwezo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…