Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Wewe chawa, unaweza kuwa bodaboda? Kamnunulie mwanao ajiajiri Kama kweli unamaanisha! Kazi gani isiyo na ujuzi zaidi ya kuwanufaisha manufacturer huko India na China? Ccm Ina watu wajinga mno wasiotaka kuambiwa ukweli!
 

Unasikitisha sana....
 
Maelezo sahihi ilipaswa kuulizwa Serikali ya CCM pamoja na mwenyekiti wake, Kamati kuu yao, n.k

Namba moja yule walimweka wao na walifanya naye kazi, na kama unakukumbuka walimtetea pia na kumsapoti..
Leo wamechange game na hao Maajenti wa Chadema wanataka tuwafuate...
 
Acha awatukane maana ndo walikuwa wamejazana pale eti kumpokea lema
 
Hivi Maria Samunge hajafika bei? Siwasikii club house siku izi.
We jamaa wewe,
Wanasiasa hapana kwa kweli.

Wanadai Mbowe alibambikiwa Kesi, Kama alibambikiwa..alibambikiwa katika utawala gani?... Halafu hawataki watu wamkosoe mtawala..

CHADEMA HAPANA KWA KWELI, NITAENDA NA CCM hivyohivyo na mapungufu yake
 
Ni nani alimbambika Mbowe kesi?..

MAHOJIANO YA mAMA NA kIKEKE ULIYASIKIA?
 
Jiwe alisimama yeye kama yeye na roho yake ya kihutu. Usijifiche kwenye chaka la chama.

Kama chama kinahusika inakuwaje hivi sasa mambo ni shwari, kwani ccm imekufa?
kWA HIYO cHAMA KILISHINDWA KUMSIMAMIA MWAKILISHI WAKE?..

Je wakati jiwe kazuia mikutano ya kisiasa , chama kilimsapoti au kumkataa...
Msichoelewa ni kuwa dhana ya Zidumu fikra za mwenyekiti ipo hai ndani ya CCM
 
Waacheni waendelee kukiwasha....watanzania sio mambulula kihivyo....mwana kulitafuta mwana kulifind
 

Kuna bango murua hapa:

 
Kama Jakaya Kikwete mauaji na mateso yalimuumiza, kama Gwajima na wengine walipenyezewa taarifa za Lissu kupigwa Risasi ni ishara kwamba walioshiriki kukamilisha mateso walikuwa wanafahamika na ni watoto wa masikini

RAI; Wazazi ambao watoto wenu wanafanya kazi kwenye vyombo vya dola niombe kuwashauri msali Sana maana wanapoaga wanakwenda kazini yawezekana kazi wanazokwenda kufanya ni hizi zinachokua nafasi ya Mwenyenzi Mungu katika kuamua hatma ya watu kuishi.

Watoto wenu wanapowatumia fedha jitahidini kuziombea, zungumzeni na watoto wenu hasa ninyi familia Duni.

Wanasiasa wanawatumia vibaya Sana watoto wenu Kwa kisingizio kwamba ni uzalendo.

Alichosimulia Lema Jana kinaleta maswali mengi Sana, lakini kama Hadi mchungaji alikuwa anajua flani yupo kwenye racket na alikaa kimya na hakuna sehemu Gwajima amewahi kuomba tuliombee Taifa unadhani nafsi yake imehifadhi habari gani kuhusu watu wasiojulikana.

Leo mchungaji huyo huyo na watu wengine wenye kufahamu haya maovu wanaendelea kupewa viti vya mbele na hakuna sehemu wanahojiwa wala kuwajibika, nadhani toba inahitajika.

Tukifanya mzaa IPO SIKU nchi itaangukia mikononi mwa MTU ambaye ndugu au mpendwa wake alipotezwa na yeye atapoteza watu kulipa kisasi.

Watu wenye roho wa Mungu kama Lema wapo wachache Sana ,wengine wamekaa kimya na may be wanalipiza kimya kimya Kwa ajali, mauaji yakijambazi na kadhalika.

We are not safe, let us reconcile
 
Dhana ya hovyo kabisa!
Eti watu watumwe wakamchafue fulani kwani watanzania ni vipofu? Kana kwamba hawakuona udhalimu na uporaji uliokuwepo? (waliokuwa na bereu DE change) watakupa simulizi zaidi.
Bwasheee hamna Cha udhalimu Wala nn.

JPM Aliamua kutokucheka na nyani, in fact wanaomchukia JPM.

Ni Mafisafi wachache , Vyeti Feki,Wafanyabiashara janja janja na zaidi wapinzani ambao kichwan wamejaza Upinzani.


LEGACY YA JPM, HAMNA WAKUIFUTA, HAYUPO NA HATATOKEAAAA ,SIO NDANI YA NCHII HII WALA NJE YA NCHI .
 
Watanzania ni wajinga sana ,wengi ni wajinga .

Kama Kuna watu ilipaswa waadhibiwe vya kutosha ni Hawa UPINZANI UCHWARA.

Baadala uhangaike na Deni la Taifa limefika trilioni 76 wewe unahangaika na Upinzani ambao haupo serikalini. Unashindwa kuiadhibu serikali kwa mfumuko wa Bei na ugumu wa Maisha unawaza Upinzani ambao haupo bungeni, Wala serikali za mitaa na wala hawaundi serikali.
 
We mpuuzi kweli,JPM alipo ni takataka,unaichafuaje takataka?
Takataka ni Mama yako !!.


Mlizoea Maisha ya kuunga unga na ujanja ujanja na Undugu mwingi ,JPM akapiga Pini.


Mkahangaika miaka mitano , mirija yote imezibwa.


Mlivyo wapuuzi , Huduma nyingi zakijamii mnazifurahia Sasa ambazo ni JPM ndio kaziacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…