mtayeshelwa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,170
- 390
Ongeza na yule Padre aliyekutwa amekufa na kutupwa kwenye tank la maji.Juzi juzi panya road wamemiminiwa risasi, hawakuwa watu au ni panya
Alizidi sana ukatiliKwa Mwenye Akili Timamu, asiye na janja janja, muadilifu, mzalendo , lazima atakiri "JPM" ni Bora .
Mpaka sasa unapata ugumu kuelewa kuwa si lawama.Systemic failure
Afu mnakuja kulaumu watoto wa watu fighting for their lives js to survive
Amefanya nini kubadili hilo?
Hotuba ndefu inaharibu! Ina maana walokupokea na kujaza mkutano wamelaaniwa?Lema amewatukana vijana Waliojiajiri kwa kuwaambia wanafanya kazi za laana, hii suala limeacha simanzi kwa vijana wengi sana.
Jana nilikua Arusha nimezunguka sehemu mbalimbali kuona wamepokeaje kauli hii yenye dharau kubwa sana. Hakika walio wengi wanajuta kwa Nini walienda Kumpokea Lema.
Serikali inapambana usiku na mchana ili vijana wapate ajira na wajiajiri alafu leo lema anakuja kuwatukana?
Lema anapaswa kuomba radhi kwa kauli hii. Yeye kwa kuwa anakula na kulala bure kule canada basi anataka watu wote waishi hivyo kitu ambacho hakiwezekani. Imeandikwa kwenye vitabu takatifu kuwa mwanaume atakula kwa jasho, wewe inakuaje unakula bure alafu unaleta dharau kwa wanaokula kwa jasho?
Lema anapaswa kuomba radhi mara moja kwa kauli hii.
Eee bwana eeeee, kumbe jamaa watu wanafanya mambo yao?Lema kazoea kula na Kulala bure Canada, anataka kila mtu aishi hivyo. Ndio maana ushoga unaongezeka
Mzee wa logical non sequitur😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mpaka sasa unapata ugumu kuelewa kuwa si lawama.
Hata baada ya mimi kukueleza kwamba si lawama.
Watanzania wengi mnaweza kuwa mnaongea kitu kimoja, halafu hamuelewani.
Bashite akiingia kwenye mgahawa anapepesa macho Kama chizi,naukimkazia macho tu anakusalimia kwa heshima kubwa. NIMESHUHUDIA MIMI MWENYEWE KWA MACHO YANGU MWANZA. Mara ya Kwanza ilikuwa kamanga hospital na mara ya pili lakailo hotel.Yani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?
Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.
Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.
Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Daaah! Aaaaaiiiseee 😲. Mbona kama sielewiAcha tuu Yani hii Dunia Kweli Mungu hanywi uji!?? Miaka kadhaa iliyopita
Nani alijua Sabaya atakuwa jela!?
Nani alijua Makonda atajificha!?
Nani alijua musiba atapotea!?
Nani alijua bwana yule hatakuwepo!?
Nani alijua lisu atarudi nyumbani kwao ( Tz)
Ana alijua doto James atakoka hazina?
Nani alijua chato haitakuwa mkoa tena!?
Aisee heshimini watu sponsor hufa!!!
Na Kinana ni makamu Mwenyekiti,Nape na Makamba ni Mawaziri kwa kukazia kufulushwa Medad Kalemani kawekwa MakambaAcha tuu Yani hii Dunia Kweli Mungu hanywi uji!?? Miaka kadhaa iliyopita
Nani alijua Sabaya atakuwa jela!?
Nani alijua Makonda atajificha!?
Nani alijua musiba atapotea!?
Nani alijua bwana yule hatakuwepo!?
Nani alijua lisu atarudi nyumbani kwao ( Tz)
Ana alijua doto James atakoka hazina?
Nani alijua chato haitakuwa mkoa tena!?
Aisee heshimini watu sponsor hufa!!!
Endeleeni kudhani Watanzania wote ni Mapopoma ( Wapumbavu ) na kama mnadhani mnapatia basi ndiyo mnaharibu na mnajiharibia zaidi.Hakuna nchi inayokosa Godfather.
Na maisha lazima yaendelee.Endeleeni kudhani Watanzania wote ni Mapopoma ( Wapumbavu ) na kama mnadhani mnapatia basi ndiyo mnaharibu na mnajiharibia zaidi.
Rubish propaganda"Nilimpigia Simu Rais Mstaafu Kikwete na kumwambia nataka kurudi Tanzania nae ( Kikwete ) akaniuliza nipo na nani na nataka Kurudi lini nikamjibu nae ( Kikwete ) akaniambia nisubiri waweke mambo sawa na nitarejea tu"
Akina GENTAMYCINE Kutwa tena kwa Kujiamini na kuwa na Uhakika kuwa Mstaafu Kikwete ana Nguvu katika Utawala wa Rais Samia na Rais Samia hapinduki ( hana Kauli ) kwa Kikwete na kwamba Kikwete bado ni Rais ( japo Kivuli ) huwa mnakataa na Kubisha.
Rais ni Samia kwanini Wewe umpigie Simu Rais Mstaafu Kikwete? Kama Lema kwa Kusema haya unadhani Umempaisha Kikwete basi ndiyo Umeharibu zaidi na Kututhibitishia kuwa Tanzania ya sasa Kikwete ndiyo mwenye Maamuzi ya Mwisho na wengine ni Ceremonial Presidents tu.
JK Hata furahia"Nilimpigia Simu Rais Mstaafu Kikwete na kumwambia nataka kurudi Tanzania nae ( Kikwete ) akaniuliza nipo na nani na nataka Kurudi lini nikamjibu nae ( Kikwete ) akaniambia nisubiri waweke mambo sawa na nitarejea tu"
Akina GENTAMYCINE Kutwa tena kwa Kujiamini na kuwa na Uhakika kuwa Mstaafu Kikwete ana Nguvu katika Utawala wa Rais Samia na Rais Samia hapinduki ( hana Kauli ) kwa Kikwete na kwamba Kikwete bado ni Rais ( japo Kivuli ) huwa mnakataa na Kubisha.
Rais ni Samia kwanini Wewe umpigie Simu Rais Mstaafu Kikwete? Kama Lema kwa Kusema haya unadhani Umempaisha Kikwete basi ndiyo Umeharibu zaidi na Kututhibitishia kuwa Tanzania ya sasa Kikwete ndiyo mwenye Maamuzi ya Mwisho na wengine ni Ceremonial Presidents tu.