Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Systemic failure
Afu mnakuja kulaumu watoto wa watu fighting for their lives js to survive

Amefanya nini kubadili hilo?
Mpaka sasa unapata ugumu kuelewa kuwa si lawama.

Hata baada ya mimi kukueleza kwamba si lawama.

Watanzania wengi mnaweza kuwa mnaongea kitu kimoja, halafu hamuelewani.
 
Lema amewatukana vijana Waliojiajiri kwa kuwaambia wanafanya kazi za laana, hii suala limeacha simanzi kwa vijana wengi sana.

Jana nilikua Arusha nimezunguka sehemu mbalimbali kuona wamepokeaje kauli hii yenye dharau kubwa sana. Hakika walio wengi wanajuta kwa Nini walienda Kumpokea Lema.

Serikali inapambana usiku na mchana ili vijana wapate ajira na wajiajiri alafu leo lema anakuja kuwatukana?

Lema anapaswa kuomba radhi kwa kauli hii. Yeye kwa kuwa anakula na kulala bure kule canada basi anataka watu wote waishi hivyo kitu ambacho hakiwezekani. Imeandikwa kwenye vitabu takatifu kuwa mwanaume atakula kwa jasho, wewe inakuaje unakula bure alafu unaleta dharau kwa wanaokula kwa jasho?

Lema anapaswa kuomba radhi mara moja kwa kauli hii.
Hotuba ndefu inaharibu! Ina maana walokupokea na kujaza mkutano wamelaaniwa?
Waombe, radhi upesi

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa unapata ugumu kuelewa kuwa si lawama.

Hata baada ya mimi kukueleza kwamba si lawama.

Watanzania wengi mnaweza kuwa mnaongea kitu kimoja, halafu hamuelewani.
Mzee wa logical non sequitur😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wa tz wengi mnaongelea kitu kimoja lakini bado hamuelewani 😂😂😂🤣🤣🤣
 
Haki ya mungu, Nina uhakika hii kauli ingetoka kwa kijani Cha mgomba mtandaoni kungejaa matusi na spana za kutosha ,Kuna watu wamelazimika tu kuinga mkono kauli hii lakini wangekuja na maoni tofauti kama asingekuwa wa kwao.

Source: Trust me bro.
 
Enzi za Julias nchi ilikuwa na viwanda e.g Tanganyika Packers, UFI, Kiuta,print pack etc kulikuwa hamna kijana anaendesha Bodaboda,sasa tuna laana kweli
 
Yani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?

Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.

Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.

Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Bashite akiingia kwenye mgahawa anapepesa macho Kama chizi,naukimkazia macho tu anakusalimia kwa heshima kubwa. NIMESHUHUDIA MIMI MWENYEWE KWA MACHO YANGU MWANZA. Mara ya Kwanza ilikuwa kamanga hospital na mara ya pili lakailo hotel.
 
Acha tuu Yani hii Dunia Kweli Mungu hanywi uji!?? Miaka kadhaa iliyopita
Nani alijua Sabaya atakuwa jela!?
Nani alijua Makonda atajificha!?
Nani alijua musiba atapotea!?
Nani alijua bwana yule hatakuwepo!?
Nani alijua lisu atarudi nyumbani kwao ( Tz)
Ana alijua doto James atakoka hazina?
Nani alijua chato haitakuwa mkoa tena!?
Aisee heshimini watu sponsor hufa!!!
Daaah! Aaaaaiiiseee 😲. Mbona kama sielewi
 
Acha tuu Yani hii Dunia Kweli Mungu hanywi uji!?? Miaka kadhaa iliyopita
Nani alijua Sabaya atakuwa jela!?
Nani alijua Makonda atajificha!?
Nani alijua musiba atapotea!?
Nani alijua bwana yule hatakuwepo!?
Nani alijua lisu atarudi nyumbani kwao ( Tz)
Ana alijua doto James atakoka hazina?
Nani alijua chato haitakuwa mkoa tena!?
Aisee heshimini watu sponsor hufa!!!
Na Kinana ni makamu Mwenyekiti,Nape na Makamba ni Mawaziri kwa kukazia kufulushwa Medad Kalemani kawekwa Makamba
 
"Nilimpigia Simu Rais Mstaafu Kikwete na kumwambia nataka kurudi Tanzania, nae (Kikwete) akaniuliza nipo na nani na nataka kurudi lini, nikamjibu, nae (Kikwete) akaniambia nisubiri waweke mambo sawa na nitarejea tu."

Akina GENTAMYCINE kutwa tena kwa kujiamini na kuwa na uhakika kuwa Mstaafu Kikwete ana nguvu katika Utawala wa Rais Samia na Rais Samia hapinduki (hana kauli) kwa Kikwete na kwamba Kikwete bado ni Rais (japo kivuli) huwa mnakataa na kubisha.

Rais ni Samia kwanini wewe umpigie simu Rais Mstaafu Kikwete? Kama Lema kwa kusema haya unadhani umempaisha Kikwete basi ndiyo umeharibu zaidi na kututhibitishia kuwa Tanzania ya sasa Kikwete ndiyo mwenye maamuzi ya Mwisho na wengine ni Ceremonial Presidents tu.
 
"Nilimpigia Simu Rais Mstaafu Kikwete na kumwambia nataka kurudi Tanzania nae ( Kikwete ) akaniuliza nipo na nani na nataka Kurudi lini nikamjibu nae ( Kikwete ) akaniambia nisubiri waweke mambo sawa na nitarejea tu"

Akina GENTAMYCINE Kutwa tena kwa Kujiamini na kuwa na Uhakika kuwa Mstaafu Kikwete ana Nguvu katika Utawala wa Rais Samia na Rais Samia hapinduki ( hana Kauli ) kwa Kikwete na kwamba Kikwete bado ni Rais ( japo Kivuli ) huwa mnakataa na Kubisha.

Rais ni Samia kwanini Wewe umpigie Simu Rais Mstaafu Kikwete? Kama Lema kwa Kusema haya unadhani Umempaisha Kikwete basi ndiyo Umeharibu zaidi na Kututhibitishia kuwa Tanzania ya sasa Kikwete ndiyo mwenye Maamuzi ya Mwisho na wengine ni Ceremonial Presidents tu.
Rubish propaganda
 
JK Hata furahia
 
Unajua hata magufuli kuna watu wasingeweza kumtokea moja kwa moja mpaka wapotie kwa wazee fulani fulani? Hata uwe dictator wa hatari watakuwepo wazee wachache ambao wakikuambia jambo unawasikiliza.

Na hiyo haimaanishi hao wazee wapo juu yako
 
Back
Top Bottom