Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

What a poor justification and reasoning.....!!!!
 
Hopeless.
 
Hopeless.
Pole,kanywe maji mengi bro.

Ila ukweli unabaki palepale.kwani Kikwete ni shetani ama!.Si rais mstaafu.

Pooooole,Kama unaipenda CCM vya nini kutupigia kelele.ni walewale kasoro ni namba za viatu.

Komaeni sana na richama Hilo,so hatutaki kelele.
 
Tangu mh Rais alipoondoa zuio haramu la mikutano ya hadhara kulikuwa na watu wengi waliojitokeza hadharani kuwaomba wanasiasa waendeshe siasa za kistaarabu zisizo na matusi wala maneno yenye ukakasi na hilo tangu mikutano ianze kwa kiasi kikubwa imezingatiwa tofauti na tulivyozoea miaka ya huko nyuma mfano kipindi cha awamu ya nne lakini cha ajabu kuna baadhi ya watz wenzetu hawapendi ustaarabu huu uendelee wanachotaka mh Rais aanze kutukanwa ili kiu yao ya mh Rais kupata sababu ya kuharamisha mikutano hiyo ipatikane na turudi kama enzi za mwendazake.

Hapana
 
Mtu kukuunganisha au kukukutanisha na mtu mwingine sio lazima iwe kwamba ndio ana kauli.
Hao niviongozi hivyo mawasiliano kwao nijambo la kawaida

JK anapendelea kusema acheni nongwa
 
Aliyetulia na kazi yake anatoboa, Kuna mmoja alianza na Moja,, sasa ana nne na maisha yanaendekea.
 
Ni kama tunavyoomba bikra Maria atuombee wakati hilo ni jukumu la Yesu
ni katika kutapatapa
 
SOMA DARK DAYS OF +$+$+3 UZI WA YONGA
 
Kumpata moja kwa moja Rais wa nchi kidogo ni procedure ndefu lakini kupitisha maombi yako fulani kwa Rais mstaafu ni rahisi kwakuwa hayupo busy sana kama Rais aliyeko madarakani.

Hata kuna baadhi ya watu waliokuwa na shida mbalimbali walipitia kwa Mstaafu Mkapa ili awafilishie ujumbe kwa Magufuli.

Sio kwamba Mkapa ndo alikuwa anaongoza nchi lahasha! Bali waliamini kupitia kwa Mkapa ingekuwa rahisi jambo lao kufikiriwa na kufanyiwa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…