Sikujua kwanini walijisahau kiasi kile.Kweli mkuu. Jiwe alikuwa anatamka maneno ya makufuru utadhani nchi hii kaiumba yeye
We ndugai ana hela ya kiinua mgongo ohooo usidhani ni njaa njaa huyo na ma v8 yake*Nani alijua Happi atakuwa analima nyanya muda huu?
*Nani alijua Polepole angekuwa katupwa Malawi?
*Nani alijua Dr. Bashiru angekuwa mbunge wa huruma ya rais badala ya Katibu mkuu kiongozi?
*Nani alijua Ndugai angekuwa kama mama wa nyumbani ?
*Nani alijua Mungu wa sukuma gang angekuwa anasutwa na kuzodolewa na kila matanzania?
Lakini isiwe kutesana sasaKutesa kwa zamu
Shida ya Ndugai sio kiinua mgongo.ni madaraka.We ndugai ana hela ya kiinua mgongo ohooo usidhani ni njaa njaa huyo na ma v8 yake
Cheo ni dhamana. Wema unalipa sana.Yani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?
Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.
Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.
Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Na wengine ndio kisa cha kutokua na imani na samia. Kumtema kijana mzalendo na mwanamapinduzi sabaya na kumfunguliwa mashitaka feki huku akimuachia gaidi mbowe.Yani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?
Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.
Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.
Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Hela peke yake haijawahi kuwa chanzo cha furaha na amani ndugu. Ndugai anatamani siku zirudishwe nyuma ili apoteze fedha lkn airejee amaniWe ndugai ana hela ya kiinua mgongo ohooo usidhani ni njaa njaa huyo na ma v8 yake
Hahaha yaaniNa wengine ndio kisa cha kutokua na imani na samia. Kumtema kijana mzalendo na mwanamapinduzi sabaya na kumfunguliwa mashitaka feki huku akimuachia gaidi mbowe.
Then leo Lema aliyekuwa uhamishoni anarudi kama MfalulmeCheo ni dhamana. Wema unalipa sana.
Yuko wapi Ali Hapi, Makonda? Maisha hayaitaji ubabe wala roho mbaya.
Tangu lini ukamatwe kwa kesi ya ugaidi halafu uachiwe?Na wengine ndio kisa cha kutokua na imani na samia. Kumtema kijana mzalendo na mwanamapinduzi sabaya na kumfunguliwa mashitaka feki huku akimuachia gaidi mbowe.
Ingia Twitter video utazikuta kasomba kijiji,ccm wananchi wamewachoka kama sio sisi kizazi kija kitawatoa kwa nguvu na aibuKuna mafekeche fekeche yamefanyika kwenye social media kuondoa au kuzuia habari za Lema Arusha zisitrend Kwa wingi kama ilivyotokea mcchana wakati anazingia...
ATCL imeendeshwa kwa hasara miak yote, tena hasara kubwa zaidi ilikuwa kutumia kodi zetu kununua madege ambayo hayazalishi ila yanazidi kula kodi zetu!Nani alijua Lugemalila atatoka jela?
Nani alijua ATCL inaendeshwa kwa hasara?
Subiri walioko Msibani Chato ambao hawajashusha Tanga waje uone KAZIYani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?
Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.
Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.
Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Watu wanamtegemea Mungu ila Sabaya alikuwa anamtegemea Magufuli.WAkati wa Mfalme Sauli watu walisema hivi, Saul aliua makumi elfu ila Daudi kaua Mamia elfu. Sauli alichukia sana
Ukimaliza tafuta Rambo 4. Moja ya picha kali sanaNgoja kwanza niangalie last blood ya Rambo
Kwahiyo na yy ni timu kataa ndoa[emoji3061]Sabaya ni mfirwa mwanawane
Huko gerezani wahuni wana mpiga mtungo ninavyosikia
Na pia anajinyea sana tu [emoji55][emoji58]
Huyo anayedaiwa alikua mwizi wa magari atakua na sababu gani zaidi ya kuleta uongo mtupu. Eti alitaka kuwawa na nani.Hv kweli umeishi Canada miaka yote hiyo, Leo unarudi bongo baada ya kazi uliyopata huko ya mkataba kuisha na sasa huna kazi ya kufanya unaitisha mkutano...
Sidhani kama Gambo dushe ipo imara nowadays. Maana huko kwenye chama kalikoroga,na huku CHADEMA kimewakaThen leo Lema aliyekuwa uhamishoni anarudi kama Mfalulme
Ni team ndoa ila ndo kama tunavyosema kila siku: ndoa zimeficha mashoga kibao.Kwahiyo na yy ni timu kataa ndoa[emoji3061]