Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

*Nani alijua Happi atakuwa analima nyanya muda huu?

*Nani alijua Polepole angekuwa katupwa Malawi?

*Nani alijua Dr. Bashiru angekuwa mbunge wa huruma ya rais badala ya Katibu mkuu kiongozi?

*Nani alijua Ndugai angekuwa kama mama wa nyumbani ?

*Nani alijua Mungu wa sukuma gang angekuwa anasutwa na kuzodolewa na kila matanzania?
We ndugai ana hela ya kiinua mgongo ohooo usidhani ni njaa njaa huyo na ma v8 yake
 
Yani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?

Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.

Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.

Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Cheo ni dhamana. Wema unalipa sana.
Yuko wapi Ali Hapi, Makonda? Maisha hayaitaji ubabe wala roho mbaya.
 
Yani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?

Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.

Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.

Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Na wengine ndio kisa cha kutokua na imani na samia. Kumtema kijana mzalendo na mwanamapinduzi sabaya na kumfunguliwa mashitaka feki huku akimuachia gaidi mbowe.
 
Na wengine ndio kisa cha kutokua na imani na samia. Kumtema kijana mzalendo na mwanamapinduzi sabaya na kumfunguliwa mashitaka feki huku akimuachia gaidi mbowe.
Tangu lini ukamatwe kwa kesi ya ugaidi halafu uachiwe?
Unajua nini maana ya ugaidi? Sabaya ni jambazi ndiyo maana bado anasota gerezani.
Watu wanamtegemea Mungu, yeye anamtegemea Magufuli. Atakoma
 
Kuna mafekeche fekeche yamefanyika kwenye social media kuondoa au kuzuia habari za Lema Arusha zisitrend Kwa wingi kama ilivyotokea mcchana wakati anazingia...
Ingia Twitter video utazikuta kasomba kijiji,ccm wananchi wamewachoka kama sio sisi kizazi kija kitawatoa kwa nguvu na aibu
 
Yani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?

Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.

Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.

Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Subiri walioko Msibani Chato ambao hawajashusha Tanga waje uone KAZI

Sang'udi
 
Hv kweli umeishi Canada miaka yote hiyo, Leo unarudi bongo baada ya kazi uliyopata huko ya mkataba kuisha na sasa huna kazi ya kufanya unaitisha mkutano...
Huyo anayedaiwa alikua mwizi wa magari atakua na sababu gani zaidi ya kuleta uongo mtupu. Eti alitaka kuwawa na nani.

Kwanza hakua tishio lolote kisiasa kwa serikali ya ccm. Na tunamshukuru zitto kwa kutueleza ukweli. Vibaraka hawa walipewa offer na mabeberu wakimbilie nje kama wakimbizi ili kutumika dhidi ya nchi yao.

Badala ya kuruhusiwa kupatiwa makaribisho ya kupanga walitakiwa kukamatwa kwa usaliti.
 
Back
Top Bottom