Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Katibu mkuu wa CCM utamfananisha na huyo mvaa baibui?? Mnakubali vipi chadema kuwa na kiongozi mwanaume anayevaa baibui?KATIBU MKUU CCM akiwa ziarani SINGIDA Amesema Wote wenye DEGREE na hawana AJIRA waende VETA Vipi hapo unasemaje AMEWASIFU?
Ndio maana nakupenda to yeye wangu, huwa unasemaga ukweli tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kaibuka kweli safari hii....ila hiyo Kaz inasomesha kabisa
Ni nchi pekee duniani ambayo wananchi ni maadui na kweliKibaraka karudi kuwatukana watu wa Arusha
Mimi sio mpenzi wa kusimamia side Moja pekee unatakiwa uwe na vielelezo vya wazi wakuonesha hao wote wameuliwa na utawala wa awamu ya tano kuliko kuleta masimuliziLisu,Azory,kanguye,Alphonce Mawazo na Ben Saanane? Sasa kwa taarifa yako wote walioonekana kuwa na active opposition politics walitakiwa waondoshwe maana Magu kupitia wapambe na wanufaika wa utawala wake walikuwa wamesha anza mchakato wa kutaka Magu aongezewe mda ili eti amalizie miradi mikubwa aliyoianzisha. Hivi unaujua ugomvi wa aliyekuwa PDGTIS( Naibu mkurugenzi wa usalama wa taifa) ndugu Makungu na Bashite mpaka akawa demoted na kupelekwa Tabora kuwa RAS? Endelea kuota kuwa Magu aliwapenda Bashite na Sabaya sababu ya uchapakazi.
Afungiwe speed gavana kwa sababu amesema mwanao akiendesha bodaboda ni laana[emoji16]
🤣🤣🤣🤣🤣 Asante sanaNdio maana nakupenda to yeye wangu, huwa unasemaga ukweli tu.
Love u my baby, I love you with all my heart
Uyu ni wakupigwa ShabaBaada ya lema kurudi ametoa matamko mengi kuhusu makundi mbalimbali yakiwemo ya wajasiriamali. Alianza na bodaboda, akaja watumishi wa Mungu, akaja kwa wamama wa vicoba na Sasa amewafikia mama lishe.
Lema anasema mama lishe ni kazi ya kitumwa, huwezi kuwa mama lishe ukatoboa maisha Wala kusomesha kwa kazi hiyo. Sijui hadi Sasa lengo la lema kushambulia hawa watu ni nini. Wapo mama lishe wengi tu wamesomesha Watoto wao hadi vyuo vikuu.
Lema anafikiri kwa kuwa yeye ameweza kuishi bure Canada basi kila mtu anaweza hivyo. Lema amekuwa na kiburi na dharau kubwa sana kwa hawa wajasiriamali wadogo.
Mama lishe poleni, endeleeni na kupambana kesho yenu ni nzuri. Dharau na majivuno ya lema yana mwisho wake.
View attachment 2536729
Nijibu kwanzaMbowe asawazishe na kuweka sawa hali ya hewa, awaambie bodaboda ni baraka kabisa[emoji16]
Easy easy....relax mkuuNatamani niandike kitu ila najikuta namasiriko tu nafutafuta.
Viongoz ndio drawbacks kwa wananchiNi nchi pekee duniani ambayo wananchi ni maadui na kweli
watu wanarud kwa hisani ya bi mkubwa watatuambia nnBaada ya lema kurudi ametoa matamko mengi kuhusu makundi mbalimbali yakiwemo ya wajasiriamali. Alianza na bodaboda, akaja watumishi wa Mungu, akaja kwa wamama wa vicoba na Sasa amewafikia mama lishe.