Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

KATIBU MKUU CCM akiwa ziarani SINGIDA Amesema Wote wenye DEGREE na hawana AJIRA waende VETA Vipi hapo unasemaje AMEWASIFU?
Katibu mkuu wa CCM utamfananisha na huyo mvaa baibui?? Mnakubali vipi chadema kuwa na kiongozi mwanaume anayevaa baibui?
 
Lema anazungumza ukweli kwenye jamii ambayo ukweli huo ni dhihaka na kejeli. Je ana suluhisho la kweli kwa anaosema wako kwenye shughuli za kimasikini? Ukweli wa Lema ndio mtazamo wa halisi wa watu wote wenye madaraka, utajiri au vipato vya kuridhisha, lakini uhalisia ni kinyume chake kabisa.
 
Amekuja na staili tofauti na ya Lissu
Huyu hamtukani Marehemu direct bali anapiga aliokuwa anawatetea kila siku na kuwasema kuwa hawa ndio wapiga kura wangu

Lema, waache kama inakuuma waseme na waliokuwa wanapiga deki barabara kuwa nao walikuwa matahira
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kaibuka kweli safari hii....ila hiyo Kaz inasomesha kabisa
Ndio maana nakupenda to yeye wangu, huwa unasemaga ukweli tu.

Love u my baby, I love you with all my heart
 
Urafiki wa Lemae, Nanaki na Mzee yule, lazima uzae kauli za namna hii.

Mwaka 2023 mengi yaliyojificha yatawekwa wazi.
 
Lisu,Azory,kanguye,Alphonce Mawazo na Ben Saanane? Sasa kwa taarifa yako wote walioonekana kuwa na active opposition politics walitakiwa waondoshwe maana Magu kupitia wapambe na wanufaika wa utawala wake walikuwa wamesha anza mchakato wa kutaka Magu aongezewe mda ili eti amalizie miradi mikubwa aliyoianzisha. Hivi unaujua ugomvi wa aliyekuwa PDGTIS( Naibu mkurugenzi wa usalama wa taifa) ndugu Makungu na Bashite mpaka akawa demoted na kupelekwa Tabora kuwa RAS? Endelea kuota kuwa Magu aliwapenda Bashite na Sabaya sababu ya uchapakazi.
Mimi sio mpenzi wa kusimamia side Moja pekee unatakiwa uwe na vielelezo vya wazi wakuonesha hao wote wameuliwa na utawala wa awamu ya tano kuliko kuleta masimulizi
 
Baada ya lema kurudi ametoa matamko mengi kuhusu makundi mbalimbali yakiwemo ya wajasiriamali. Alianza na bodaboda, akaja watumishi wa Mungu, akaja kwa wamama wa vicoba na Sasa amewafikia mama lishe.

Lema anasema mama lishe ni kazi ya kitumwa, huwezi kuwa mama lishe ukatoboa maisha Wala kusomesha kwa kazi hiyo. Sijui hadi Sasa lengo la lema kushambulia hawa watu ni nini. Wapo mama lishe wengi tu wamesomesha Watoto wao hadi vyuo vikuu.

Lema anafikiri kwa kuwa yeye ameweza kuishi bure Canada basi kila mtu anaweza hivyo. Lema amekuwa na kiburi na dharau kubwa sana kwa hawa wajasiriamali wadogo.

Mama lishe poleni, endeleeni na kupambana kesho yenu ni nzuri. Dharau na majivuno ya lema yana mwisho wake.

View attachment 2536729
Uyu ni wakupigwa Shaba
 
watu wanarud kwa hisani ya bi mkubwa watatuambia nn
 
Back
Top Bottom