Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Chongolo π πSasa kama degree Yako ni ya Sindimba si uende tu VETA
Kuvaa baibui unaizungumziaje? Maana amesema Amewahi kuvaa baibuiLema anazungumza ukweli kwenye jamii ambayo ukweli huo ni dhihaka na kejeli. Je ana suluhisho la kweli kwa anaosema wako kwenye shughuli za kimasikini? Ukweli wa Lema ndio mtazamo wa halisi wa watu wote wenye madaraka, utajiri au vipato vya kuridhisha, lakini uhalisia ni kinyume chake kabisa.
Kabisa mkuuLema anawaambia mnafukuza upepo, miaka 50 hamtoboi. Eti mnakusanywa boda 100 mpewe mtaji wa million 5 wenye figusu na masharti kibao.
Huu ujinga unatakiwa uishe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kaibuka kweli safari hii....ila hiyo Kaz inasomesha kabisa
Kabisa mkuuHata kazi ya kuuza gongo na ukahaba inasomesha kabisa[emoji16]
Akili kubwazVikoba havina msaada,
Ni hela yako inakatwa sijui, akiba sijui nini, wa kufaidi ni wachache.
Vikoba lazima mgombane mpaka mtishiane kurogana.
Kosa la Lema anasema ila hatoi option B, bila vikoba au bodaboda watu wapateje hela?
Hizi kauli za kisomi na zilizofanyiwa tafiti sana za Chadema na viongozi wake zimesaidia sana ma mbumbumbu mnaibuka Kwa Kasi mkidhani mnawamaliza kina Lema kumbe ndio mnawapa nafasi waeleweke viziri zaidi.Amekuja na staili tofauti na ya Lissu
Huyu hamtukani Marehemu direct bali anapiga aliokuwa anawatetea kila siku na kuwasema kuwa hawa ndio wapiga kura wangu
Lema waache kama inakuuma waseme na waliokuwa wanapiga deki barabara kuwa nao walikuwa matahira
Naungana na Lema kwenye hili.Wife nilimchimba mkwara mmoja mkubwa sana kuhusu hizo mambo! Kama anacheza basi ni kwa kificho sana na anajua siku nikijua nini kitatokea.
Kwa hiyo wasubiri mpaka serikali itakapowapatia maisha bora ndio waanze kutafuta, kwa sasa wakae tu nyumbani?
nakubaliana na Lema kwenye Vicoba na Bodaboda.... bodaboda ni matumizi mabaya ya nguvu kwenye ujenzi wa Taifa.
Mpige Shaba mama yako kama hilo ni jambo zuri.Uyu ni wakupigwa Shaba
Umemsikiliza mpaka mwisho au unafuata hayo ya mihemko ya kuchukua sentensi moja na kuisambaza?Sasa Lema anataka tuwe majambazi kama yeye?Atupe basi kazi mbadala,si anatuambia mama lishe kazi ya kitumwa na hatupi wazo la njia mbadala. Anafikiri tumependa kuwa mama lishe ?