Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Hahahahah nilimwambia bibie hio biashara ya kufanya vikoba kipindi hajapata kazi ya maana nikamwambia siitaki!

Alikuwa ananisumbua sana na hayo marejesho. Maana mostly alikuwa hana hela. Nikamwambia iwe mwanzo na mwisho
Kila mtu anapambana kivyake mifumo halisi ya kuwezesha kufanya biashara imedumaa, (Business Enabling Environments), BEE
 
Halafu wanawasema watu buku wakigombania nafasi 3 kwenye taasisi
Duu umenikumbusha kuhusu tozo walitwambia kuanzia shiringi 50 hadi elfu thelathini hakuna tozo na hawakurudi tena tena kutuomba msamaha kwamba tozo zipo na jamii ipo kimya, (Silence society)
 
Lema mara zote wanasema ukiwa na hasira sana usiongee lolote .lakini pia ukiwa na furaha jizuie usiongee chochote! Hiyo ndio ilimtokea lema akiwa jukwaani ,kelele za washangiliaji zikamwondolea hekima zikamletea kichaa akajikuta anaanza kulaumu hata watu ambao sio sehemu ya ajenda ya mkutano!! Mfano anamwambia mchungaji na nabii geordavie kwamba alikosea kuwasaidia wananchi badala yake angekarabati kanisa lake ! Hiyo haikuwa na mantiki yoyote kwenye hotuba yake !! Pili anadai biashara ya boda boda ni laana ! Anasahau Ile biashara ni kama biashara zingine !! Anataka kutuambia wanaoagiza pikipiki nje waache kuziagiza kwa kuwa ni laana! Anataka kusema maduka ya pikipiki kariakoo na nchi nzima yafungwe kwa sababu ni laana . Labda alitaka kusema makampuni yapikipiki yaache kuiuzia Tanzania pikipiki kwa kuwa ni laana ?? Watanzania wangapi wanaendesha maisha Yao kwa kutegemea pikipki na bajaji ! Ni Kodi kiasi Gani serikali inapata kwa biashara ya pikipiiki. Lema hotuba Yako imekuondolea heshima mtu mzima huchutama waombe radhi bodaboda nchi nzima maana umewatukana!!!
 
Hizi kauli za kisomi na zilizofanyiwa tafiti sana za Chadema na viongozi wake zimesaidia sana ma mbumbumbu mnaibuka Kwa Kasi mkidhani mnawamaliza kina Lema kumbe ndio mnawapa nafasi waeleweke viziri zaidi.
Watukane mfumo wenu wa Elimu, unaomfanya mtoto anakariri tu
Sawa ni kauli za kisomi na zimefanyiwa tafiti
Kwa hiyo hakuna mama lishe duniani ila bongo tu
 
Ila hizo kazi ni ngumu Sana naona ni kama betting serikali inakusanya kodi nyingi Sana kwa agent anaeingiza pikipiki na agent anapata faida kubwa

Swali la kujiuliza hili ongezeko la pikipiki zimesaidia kwa kiwango gani kupunguza umasikini kuna kundi kubwa la vijana wanakimbilia kwenye hii
 
Nabii achutame 🤣🤣🤣
Muacheni hivyo hivyo 2025 sio mbali naona kuosha mavi ya watu wa Canada kumemharibu mazima.
 
Fikiria Kwa mapana bro,wewe hapo ulipo unaweza kwenda kanisani,au msikitini kutoa sadaka ya shukrani kijana wako akitoka chuo kikuu na kwenda kuendesha pili piki kama ajira?
Matumizi ya piki piki kwa mtu binafsi sio shida,ila kwa vijana wa bodaboda ni kimbilio kwa vile wamekosa kazi za maaana.kungekuwa na viwnda hakuna kijana angeenda huko ushenzini,
Dubai,SA,USA,UK Kuna bodaboda?huko vijana wanafulsa hawafanyi huocupuuzi,huku kwetu ccm imeshindwa kial kitu,sasa vijana ama waibe,au waendeshe boda.
 
Kweli kabisa
 
Kabla ya kufikia uchumi waliopo USA, UK, SA: kuna watu alifanya kazi mbaya na ngumu kuliko kuendesha Bodaboda usifikiri kazi zilikuwa za viwandani tu na usifikiri viwanda vilidondoka kutoka mbinguni huko tu! Ndugu yangu - mwanzo watu alipigwa, waliuwawa, walidhalilishwa utu wao! Ndipo wakapata utajiri. Kashi Kashi ya Magufuli - hapa kazi tu, mmelalamika sana. Nidhamu ya kazi imewatoa jasho. - hamtaki kusikia hata jina lake! Soma historia ya USA na UK kuanzia miaka ya nyuma. Watu wameuwawa na kudhalilishwa! Africa ya Kusini ni mpaka leo. Kibao cha Magufuli ili mfanye kazi hamkukitaka ila mnataka mlale - mkiamka Tanzania kuwe kama USA, CANADA, UK, DUBAI, SA!
 
Kama ni kazi ya Laana mbona mnawakodi kwny misafara ya shughuli zenu za kisiasa?


mlivyokuwa mazezeta wa kisiasa badala ya kumkana ili ionekane aliropoka tu au sio msimamo wa Chama nyie mnashupaza shingo kutetea ujinga
Taja mtoto wa Waziri au mbunge ambaye ni bodaboda
 
Kwenu Iramba mnaongoza kwa ufaraka na mbunge ni Waziri wa fedha, kwahiyo miaka yote Mwigulu hafanyi kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…