Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Hata bimkubwa kaenda huko kumpokea
 
Kwani ulishakufaa au walitudanganya upo unatuvizia wewe kiongozi la mashetani
 
Mambo hugeuka, na wala usishangilie eti Sabaya yuko gerezani... Tena ogopa sana hao watuhumiwa wa Kisiasa, kuna siku utakuja kuona Sabaya ni Rais au ni waziri mkuu, kila kesho hubadilika na hata usibeze , muangalie Rais wa Zimbabwe, alikaa gerezani miaka kumi akiwekwa na Serikali ya Rodeshia nyakati hizo, hawa kina Lema pia wala usidhani ni watu wema kwa mawazo yako, eti walionewa tu... Big No, usichokijua usikisemee kwa mihemko ya mapenzi ya siasa
 
😀😀
 
Unamtetea Sabaya? Dunia itakushangaa.
 

Umeandika ki politics sana lakin hauna uelekeo.
Iko hivi ukipewa madaraka na rais, fanya kazi within mipaka yako. Ukijitia kiherehere kujiongeze majukumu utaumia. Sabaya ni mfano hai kuwa ukivurunda hata mabosi wanakunawa. Hii ipo kote hata ofice mbali mbali serikalini
Alitakiwa ajue hilo
 
Nani alijua simba atafungwa 3-0 kwa mkapa?
Nani alijua Samia atakuwa Rais?
Nani alijua Kakobe atakuja funikwa na Mwamposa?
Nani alijua atcl ingekufa tena kifo cha mende?
Hahaha wenzanko wanazungumzia uongozi wa hovyo vs utawala bora wewe unazungumzia simba na yanga siyo bure ndio maana mlikua mnamshabikia yule muuaji.
 
Acha ujinga wewe unamtetea sabaya wakati matendo yake ya ujambazi yapo wazi kila mtu anajua hata hao wakubwa zake wa ccm? Kwani sabaya aliyempeleka jela ni lema? Msiwe na ushabiki mpaka mnashindwa kuona matendo mabaya ya hao mnaowashabikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…