Paul walimnawa alipojifanya anapiga mashoga.Umeandika ki politics sana lakin hauna uelekeo.
Iko hivi ukipewa madaraka na rais, fanya kazi within mipaka yako. Ukijitia kiherehere kujiongeze majukumu utaumia. Sabaya ni mfano hai kuwa ukivurunda hata mabosi wanakunawa. Hii ipo kote hata ofice mbali mbali serikalini
Alitakiwa ajue hilo