Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Namsikiliza Mbunge wa zamani Nndg Lema Jembe FM, anahojiwa alipokeaje suala la yeye kufutiwa kesi zake.

Lema anadai moja ya vitu anavyompongeza Mama ni pamoja na yeye kufutiwa mashtaka pia mikutano ya kisiasa...
Anaongea vizuri ila yuko misplaced discussion yake na diaspora na watu wa nje anaharakisha, content yuko sawa, contextually yuko wrong, what he says is true in a mature market state, na sio kwa infant economies, it's good as a wake up call but he doesn't put on the table the alternatives.

He does the kabobo talking for nothing, he has a point but lacks substances without alternatives.

I wish he had a road map of opinions with action plans.

He says nothing on industrialization agenda, job creation and wealthy creation, youth and general economy prosperity, he articulate none of the agricultural mechanization, agricultural green houses, fishing ponds, orchards and tree nursery, ovacado economy. Nothing on human shipment brain drain job opportunities abroad.
 
Ana paswa azingatie kauli za kuzungumza yeye kama mwanasiasa asiwe ropo ropo.
Kama angekuwa hapa bila kwenda nje asingesema haya,fursa za kazi hupatikana kulingana na nchi husika,elimu,ajira nk.Haya ynte anasema kwakuwa kaishi mbele kaona tofauti.
 
Anaongea vitu vya kweli kabsa ila anakikandamiza Chama chake bila shaka kipo anachokipambania

Yeye anaweza akafanya nini? Kumbadilisha boda boda waache kazi yao na awape kazi anayohisi nzuri zaidi ya hiyo

Au atawapa boda boda ajira gani? Ambayo itawafaa anaelekea kupoteza point Kwa chama chake point ya boda boda chadema wanaikosa kupitia G,LEMA
 
Namsikiliza Mbunge wa zamani Nndg Lema Jembe FM, anahojiwa alipokeaje suala la yeye kufutiwa kesi zake.

Lema anadai moja ya vitu anavyompongeza Mama ni pamoja na yeye kufutiwa mashtaka pia mikutano ya kisiasa...
Kuna boda boda Canada au kusajili line kule? Watoto wake wote si wamepewa uraia wa kule.

Aache kujikweza kishamba kupewa asali na mama kusimfanye adharau alipotoka kiande mmoja.
 
Anaongea vitu vya kweli kabsa ila anakikandamiza Chama chake bila shaka kipo anachokipambania..
Awatafutie ukimbizi Canada ili wakatawaze wazee kwa dollar 20 kwa saa!
 
Ipo hivi unaweza ukadhani anaongea masihara lakini ndiyo ukweli HALISI .. kuna kazi unafanya kwenye mazingira magumu jua kaliiii lakini hata ufanye mpaka Kufa huwezi kuaga umaskini., Zaidi ya hapo utapata pesa ya kula tu na kijikimu masuala mengine kama mavazi.

So kwa upande wangu Lema yupo sahihi, Serikali ijaribu kutengeneza fursa ambazo watu wakifanya wataweza kutoka hatua moja kwenda nyingine kiuchumi.

Mfano kilimo Bora, Uvuvi bora ambao unahusisha teknolojia na wahamasishe Vijana kuingia kwenye sekta ambazo zinaweza kumtoa mtu hatua moja kwenda nyingine,na sio kuchekea vijana nguvu kazi kutembea juani na mabegi ya ukwaju.

Na kuliko kufanya kazi kama kusajili laini kazi ambayo naamini wahusika wanalipwa Commission ndogo, huku laini wanazosajili zikienda kuwaingizia makampuni ya mitandao ya simu mabilioni ya pesa...

Tuna njia ndefu kama Taifa kupiga vita umaskini.
 
Mtu kama huyo mi namuona popoma tu sababu hana ishu. Unaposema mtu asiwe boda boda au msajili line whats the alternative?

Watu wanataka kulipa bills na kuishi unaongea pumba kwenye hustles za watu. Ndio kazi hizo sio nzuri, aoneshe nzuri ni zipi ili watu hao waache kazi za laana wafanye hizo nzuri.

Ukimbana utagundua hana alternatives bali ni msema hovyo tu.

 
Mtu kama huyo mi namuona popoma tu sababu hana ishu. Unaposema mtu asiwe boda boda au msajili line whats the alternative? Watu wanataka kulipa bills na kuishi unaongea pumba kwenye hustles za watu.

This idiot called Lema is very stupid, is my goos friend kweli, nimeongea naye juzi, mbona hakuna ulazima wa kuropoka, hata haelewi...

Let Lema be Lema, tofaufi zetu ndo zinatufanya tuishi pamoja, anawadanganya watu mke wake anasimamia Biashara Canada?

Biashara zake, yani Lema miaka hii keshakuwa na biashara zake, siyo yake ya mke wake kusimamia, sasa hii detail sijui inamuhusu nani.
 
Watu wanataka kulipa bills familia ziishi na watoto wasome. Thats the only thing. We onesha mtu aache boda boda ili awe nani na familia ile na watoto waende shule?
Mifumo ya nchi ya kimaskini Kama Tanzania haimpi nafasi mpambanaji kutoboa, bodaboda hii sio career and you cannot archive anything in ur life circulation nadhani hii Kazi namchukilia Kama njia tu huwezi kupiga hatua that why I hate Ccm Lema anawafungua watu akili
 
Namuona mjinga kuishi kwake Canada ule ushamba wake umemjaa sana, ame depreciate badala ya kuongezeka thamani, I think he lack knowledge addition from a wider spectrum and he has had multidisciplinary global and glocal malnutrition knowledge wise.
 
Mpe mwanao bodaboda Kama ni kazi nzuri u can never appreciate suffering of others if ur smart upstairs period , Lema is hating fucking life made by Ccm regime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…