Paul walimnawa alipojifanya anapiga mashoga.Umeandika ki politics sana lakin hauna uelekeo.
Iko hivi ukipewa madaraka na rais, fanya kazi within mipaka yako. Ukijitia kiherehere kujiongeze majukumu utaumia. Sabaya ni mfano hai kuwa ukivurunda hata mabosi wanakunawa. Hii ipo kote hata ofice mbali mbali serikalini
Alitakiwa ajue hilo
😅😅😅😅kazi kweli kweliMaisha ni gwaride aisee ..leo hii ukiiletea fyoko Chadema ujue umeifanyia fyoko serikali
Yaani polisi wote waliokuwa wanasema Chadema mtapata tabu sana mkiandamana Leo hii ndo wanafurahia maandamano ya chadema na kuyapa ulinzi mkali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kazi kweli kweli
Unateseka ukiwa wapi?Hv kweli umeishi Canada miaka yote hiyo, Leo unarudi bongo baada ya kazi uliyopata huko ya mkataba kuisha na sasa huna kazi ya kufanya unaitisha mkutano. Unasumbua watu wenye akili zao waache kusaka noti wakasomeshe watoto wao, unatumia masaa 2 kulalamika kuwa ulitaka kuuawa.
Wewe una impact gan had wakuue? Umeona huna agenda ya kuwaaambia wananchi zaidi ya kulalamika kuwa ulitaka kuuawa ili wananchi wakuonee huruma, siasa za kijinga kabisa.
Haya sasa umerudi fanya siasa kaka lema.
KARMA..Karma..karma....Yani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?
Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.
Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.
Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Nimeona jana Lema walivyosimama kidete kuhakikisha utulivu unatamalaki pale KIAYaani polisi wote waliokuwa wanasema Chadema mtapata tabu sana mkiandamana Leo hii ndo wanafurahia maandamano ya chadema na kuyapa ulinzi mkali [emoji23][emoji23][emoji23]
MTU yoyote anayeamini Magufuli alikua Shujaa na Mzalendo inabidi akapimwe Akili na aanzishiwe dozi mapemaWewe una impact gan had wakuue? Umeona huna agenda ya kuwaaambia wananchi zaidi ya kulalamika kuwa ulitaka kuuawa ili wananchi wakuonee huruma, siasa za kijinga kabisa.
Aisee..Yaani polisi wote waliokuwa wanasema Chadema mtapata tabu sana mkiandamana Leo hii ndo wanafurahia maandamano ya chadema na kuyapa ulinzi mkali [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi babaako aliishatoka pale Wodi ya C1 Bugando?Tulipata Raisi Chizi.
Lile jitu lilikuwa katili eti si unaona lilivyomfanya Lissu?Hv kweli umeishi Canada miaka yote hiyo, Leo unarudi bongo baada ya kazi uliyopata huko ya mkataba kuisha na sasa huna kazi ya kufanya unaitisha mkutano. Unasumbua watu wenye akili zao waache kusaka noti wakasomeshe watoto wao, unatumia masaa 2 kulalamika kuwa ulitaka kuuawa.
Wewe una impact gan had wakuue? Umeona huna agenda ya kuwaaambia wananchi zaidi ya kulalamika kuwa ulitaka kuuawa ili wananchi wakuonee huruma, siasa za kijinga kabisa.
Haya sasa umerudi fanya siasa kaka lema.
Zito hata ndani ya chama chake haaminiki sembuse njeHuyo anayedaiwa alikua mwizi wa magari atakua na sababu gani zaidi ya kuleta uongo mtupu. Eti alitaka kuwawa na nani.
Kwanza hakua tishio lolote kisiasa kwa serikali ya ccm. Na tunamshukuru zitto kwa kutueleza ukweli. Vibaraka hawa walipewa offer na mabeberu wakimbilie nje kama wakimbizi ili kutumika dhidi ya nchi yao.
Badala ya kuruhusiwa kupatiwa makaribisho ya kupanga walitakiwa kukamatwa kwa usaliti.
Yaani utadhani jeshi la polisi sio lile la Miaka 3 iliyopita...ni kama tumeazima polisi kutoka ulaya kumbe ni akina mponjoli mwaburambo hawa hawa ...akina kingai pamoja na ukatiri wao wa kipindi Cha magufuri lkn kwa sasa ni kama sio waoNimeona jana Lema walivyosimama kidete kuhakikisha utulivu unatamalaki pale KIA
Mhe Lema ana maneno ya kinabii sana , na mengi yanatimia aliyoyanenaNakumbuka hekaheka za Lema kukamatwa na kusafirishwa usiku wa manane from Dodoma to Arusha usiku
Nakumbuka kauli ya Lema kwamba kuwa muoga haufanyi uepushe kifo, kufa kupo tu hata ukiiogopa kufa na Jasiri ataishi tu maana Mungu ndie anagawa maisha
Wewe kama sio gambo basi chawa wa gambo hacha wivu wa wake wenza lema ndiyo karudi tafuteni shughuri nyingine za kufanyaNyie bodaboda mliokuwa mnajishaua kwenye msafara wa Lema, mmemsikia mtu mliekuwa mnamshobokea?
Bodaboda ni kazi ya laana.Mwenzenu kasharidhika na maisha ya Canada.
Endeleeni na ujinga wenu
Hivi mtu akisema ampewa ndoto na Mungu, utajuaje? Hivyo wewe tii jina la Mungu ila ukimkamata naona hapo Mungu ataona hauheshimu jina lake wala hauna hofu na jina lake.Mhe Lema ana maneno ya kinabii sana , na mengi yanatimia aliyoyanena
Na alimtabiria jiwe kifo , akaishia kuswekwa rumande miezi 4 .. after 2yrs likatimiaHivi mtu akisema ampewa ndoto na Mungu, utajuaje? Hivyo wewe tii jina la Mungu ila ukimkamata naona hapo Mungu ataona hauheshimu jina lake wala hauna hofu na jina lake.
Mheshimiwa Lema angeitea Nabii rasmi